Wednesday, September 26, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

Mario Balotelli aibuka na jipya, achelewa mazoezini lakini arejea na kilo 100

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa na mjasili haachi asili hii ni ukiwaza alichochanya moja washambuliaji watukutu ulimwenguni Mario Balotelli. Sasa wakati Mario Balotelli...

Pogba kuja Tanzania na Everton?

Klabu ya Everton inajiandaa kuja nchini Tanzania kwa ziara ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi ambapo wakiwa hapa wtacheza na washindi wa kombe...

Ronaldo naye huyu hapa na barua yake, aeleza kwanini anaondoka

Tumesikia kwa Real Madrid tayari na tumesikia kwa kila mtu, lakini Cristiano Ronaldo alikuwa kimya na sasa kwa mara ya kwanza Ronaldo ametoa yake...

Uhusiano wa Paul Pogba na United wazidi kupasuka, anataka kuondoka

Waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, lakini lisemwalo kuhusu Paul Pogba na Manchester United inaonekana sasa limewadia na hali si hali Old...

Droo ya klabu bingwa Ulaya kutia nanga leo! Atletico yaipiku Man United, Liverpool yatupwa...

KLABU BINGWA BARANI IMERUDI TENA Leo tutashuhudia droo ya hatua ya makundi itakayofanyika kuanzia saa 11 jioni. Real Madrid ndio Mabingwa watetezi wa kombe hilo Vilabu vinne...

Ronaldo awekwa juu ya Messi, De gea golikipa namba 1 duniani

Wakati Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakiwa na wastani wa kiwango cha 94 kwenye viwango vya michezo ya video maarufu kama FIFA, Ronaldo amewekwa...

Ricardo ni kivuli cha Xavi na Iniesta, tatizo hana nyama mbili.

Hivi majuzi nilibahatika kuona mpambano wa Barcelona dhidi ya Ac Milan na ule wa Barcelona dhidi ya Bocca Juniors. Kama uliangalia kwa makini uligundua kwamba...

Wamemkatili Ozil kama msaliti lakini dunia inamtazama kama shujaa

"Nimezaliwa na kukulia Ujerumani, kwanini watu hawaniheshimu kama mjerumani mwenzao"Ozil Özil ana asili ya Turkish-German . Hajawahi kukana asilia yake, wala haoni aibu kusifia asilia...

Wakiwa hawajayasahu ya Tottenham, Sadio Mane arusha kombora Manchester United

Wametoka kufungwa Jumatatu tu na Tottenham Hotspur ikiwa ni kipigo cha pili mfululizo EPL na hakika mashabiki wa Manchester United kwa sasa wana majonzi...

Unajua Kante anamkubali nani zaidi?

Kocha msaidizi wa N’golo Kante Piere Ville alisema kuwa kante alikutana na wakati mgumu sana kwani timu nyingi zilikuwa hazimtaki kutokana na umbo lake...

STORY KUBWA