Saturday, September 22, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

Naomi Osaka amkalisha Serena Williams katika fainali iliyojaa mvutano Us Open

Kama ulikuwa haufahamu Naomi Osaka anavutiwa zaidi kwenye tennis na Serena Williams na mwaka 2014 alihangaika sana kukutana na Serena ili tu kupiga naye...

LIVE ( text commentary): Uganda vs Tanzania

Na mpira umekwisha Uganda 0-0 Stars Chilunda amechukua nafasi ya Ulimwengu Mpira wa kutushwa dakika za lala salama Dakika ya 94: Bado Ulimwengu hali yake bado sio njema Hatari...

Mambo makuu ya manne ya kutazama mechi za kimataifa, Messi hayupo, Ronaldo hayupo, Sane...

Makala hii imeandaliwana Jacob Steinberg, Barry Glendenning na Michael Butler wachambuzi wa jarida la the Guardian. 1) Je Sané atamkosoa Löw ? Joachim Löw amewaongeza wachezaji wa...

Mbwana Samata afunguka kuhusu Uganda na wachezaji waliotemwa Stars

Kuelekea mchezo dhidi ya Uganda kuwania kufuzu fainali za AFCON 2019, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amesema lengo ni kufuzu fainali hizo kwa...

Kocha mkuu wa Stars atoa ya moyoni kuhusu waliotemwa Stars

Siku chache baada ya sintofahamu kuhusu wachezaji waliotemwa katika kikosi cha Taifa Stars, kocha wa timu hiyo Emmanuel Amunike amefunguka kuhusu wachezaji hao. "Kuna wachezaji...

Mmh kwa takwimu hizi Watford wanaamini wanaweza kubeba EPL msimu huu

Kati ya vitu vya kusisimua sana vinavyoendelea EPL ni namna ambavyo Watford wamegoma kuondoka Top 4, hadi sasa wako nafasi ya 3 na alama...

Mourinho aitwa na UEFA kujadili sheria ya mabao ya ugenini

Makocha wakubwa duniani akiwemo José Mourinho wameitwa kwenye kikao cha Uefa cha kujadili mustakabali wa magoli ya ugenini. Moja ya hoja nyingine kubwa ni kujadili uwezekano wa...

Mourinho afungwa mwaka mmoja

Meneja wa Man United Jose Mourinho amefanya makubaliano na mamlaka ya kodi nchini humo kuhusu sakata lake la ukwepaji kodi. Mamlaka hiyo imemhukumu kifungo...

Regnald Mengi ateuliwa na TFF kuwa mlezi wa Serengeti boys

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF)leo Jumanne Septemba 4,2018 limemtangaza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Ndugu Reginald Mengi kuwa mlezi wa timu ya Taifa...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuhusu Messi kupigwa chini tuzo za mchezaji bora wa FIFA

Lionel Messi kapigwa chini kwenye tuzo ya mwanasoka bora wa dunia 'The best FIFA Men's Player of the Year' Lionel Messi, katika fainali ya...

STORY KUBWA