Sunday, September 23, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

MATARAJIO YA MSIMU MPYA WA VPL 2014/15

ELIUS KAMBILI ZIMEBAKI saa chache kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambao utashirikisha timu 14 kutoka mikoa ya Tanzania Bara. Timu hizo...

DC TANGA AONGOZA MAPOKEZI YA COASTAL UNION, WANANCHI WAJITOKEZA BARABARANI KUWALAKI,ASEMA HATA SITA KUWACHUKULIA...

Msafara wa Coastal Union ukiongozwa na pikipiki na Baiskeli zisizokuwa na idadi wakipita katika mitaa mbalimbali jijini Tanga kabla ya kuelekea kwenye Kambi yao...

TATA MARTINO KOCHA MPYA WA ARGENTINA.

Kocha wa zamani wa Barcelona Gerardo Martino amechaguliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Argentina mara baada ya kocha aliyeifikisha fainali ya...

Utabiri wangu wa michezo ya ufunguzi wa ligi kuu ya England 2014/2015

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=R_W_yj69DYY?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A&w=640&h=360] Utabiri wa mikeka ni sehemu ya kutari matokeo ya michezo ya ligi mbali mbali ulimwenguni. Kwa kuanza ligi kuu ya England inatarajia kuanza mwishoni...

MAISHA MENGINE YAENDELEA KUSONGA KAMA KAWAIDA YANGA SC

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya kutolewa kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati maarufu kwa jina la kombe la Kagame,...

TETESI: ELIAS MAGURI KUTUA MSIMBAZI

WEKUNDU wa Msimbazi Simba wapo katika mazungumzo na mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Elias Maguri. Taarifa za uhakika zinasema mazungumzo hayo yanakwenda vizuri na muda wowote...

LIVERPOOL YAMUAZA SUAREZ BARCELONA…BEI YAKE `NOMA`

Suarez akiwapungia mashabiki wa Uruguay akiwa katika nyumba ya mama yake mzazi mjiniĀ  Montevideo baada ya kuondoka katika fainali za kombe la dunia. KLABU ya...

LIVERPOOL v CHELSEA: MOURINHO KUPUMZISHA MASTAA KUWASUBIRI ATLETO

JOSE MOURINHO amebainisha kuwa anataka kuwapumzisha Wachezaji kadhaa muhimu watakaposafiri kwenda Anfield hapo Jumapili kucheza na Vinara wa Ligi Kuu England, Liverpool, kwenye Mechi...

SIR ALEX KUSHIRIKI KUSAKA MRITHI WA MOYES MAN UNITED

SIR ALEX FERGUSON atashiriki kikamilifu katika mchakato wa kumpata Meneja mpya wa Manchester United kuziba nafasi ya David Moyes aliefukuzwa. Moyes, ambae alipendekezwa na Sir...

EUROPA LIGI-NUSU FAINALI: LEO SEVILLA v VALENCIA, BENFICA v JUVE

LEO Usiku, Mechi za Kwanza za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa na Klabu za Spain, Valencia na Sevilla, zitakutana huko Estadio Ramon Sanchez...

STORY KUBWA