Uncategorized

Home Uncategorized

Simba walizidiwa wapi?

Napenda kuwapa Hongera As Vita ya nchini Congo, kwa kutumia uwanja wake wa nyumbani kupata ushindi dhidi ya muwakilishi wetu peke kutoka nchini Tanzania...

Kwanini Chelsea walifungwa na Spurs?

WAZO HURU: Makala na Roberto Komba Jumamosi iiliyopita tulishuhudia moja ya tukio zuri katika soka na likiwa tukio baya kwa klabu ya Chelsea na mashabiki...

Uhusiano wa Paul Pogba na United wazidi kupasuka, anataka kuondoka

Waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, lakini lisemwalo kuhusu Paul Pogba na Manchester United inaonekana sasa limewadia na hali si hali Old...

LIVE : Mechi ya kwanza ya Himid Mao. PetroJet Vs Zamalek

https://www.youtube.com/watch?v=RkLYrwJhKuo&feature=youtu.be

Mourinho aitwa na UEFA kujadili sheria ya mabao ya ugenini

Makocha wakubwa duniani akiwemo José Mourinho wameitwa kwenye kikao cha Uefa cha kujadili mustakabali wa magoli ya ugenini. Moja ya hoja nyingine kubwa ni kujadili uwezekano wa...

Dwayne Wade aonesha kwanini ni kipenzi cha watu wa Miami

Miami Heat walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani kuikaribisha Philadephia katika mchezo wa ligi ya kikapu Marekani NBA ambapo Miami waliibuka kidedea kwa ushindi...

Salum Kihimbwa amwaga wino Mtibwa

Salum Kihimbwa baada ya kuitwa timu ya taifa ameongeza mkataba na klabu yake ya Mtibwa. Salum Kihimbwa aliyezaliwa desemba 20 mwaka 1997 ni Mchezaji...

Striker Singida kavunja na kuweka rekodi ligi kuu

Mshambuliaji wa Singida United raia wa Rwanda Danny Usengimana amevunja rekodi ya cleen sheet ya golikipa wa Azam Razak Abarola. Mbali na kuivuruga rekodi hiyo...

Brazil kukutana na Ujerumani kwa mara ya kwanza hii leo tangu 7-1

Ilikuwa ni July 8 mwaka 2014 wakati Thomas Muller akifunga bao la kwanza dakika ya 11, mimi na wapenda soka wote ulimwenguni tuliamini ni...

MAJI MAJI NA POLISI MARA ZAONGOZA MBIO ZA KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO…

Ligi daraja Kwanza Tanzania Bara imeendelea jana kwa michezo kadhaa ya kundi B. Maafande wa Polisi Tabora wakiwa nyumbani wamefanikiwa kujiongezea pointi tatu muhimu baada...

Klabu ya Himid Mao yatoshana nguvu na HARAS EL HODOOD

Leo klabu ya Himid mao ilishuka dimbani kumenyana na HARAS EL HODOOD katika uwanja wao Mubarak International Stadium (Suez). Mchezo huo umemalizika kwa...

Mario Balotelli aibuka na jipya, achelewa mazoezini lakini arejea na kilo 100

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa na mjasili haachi asili hii ni ukiwaza alichochanya moja washambuliaji watukutu ulimwenguni Mario Balotelli. Sasa wakati Mario Balotelli...

Ratiba kamili ya Manchester United msimu wa 2017/2018 hii hapa.

Baada ya msimu uliopita kumaliza katika nafasi ya sita, hii ndio ratiba ya Manchester United katika msimu wa ligi wa mwaka 2017/2018 utakaonza tarehe...

Simba vs Mtibwa historia mpya kuandikwa Mwanza

Mchezo wa Ngao ya Jamii unazikutanisha Simba (mabingwa wa ligi kuu tanzania bara msimu uliopita) dhidi ya Mtibwa Sugar (mabingwa wa kombe la TFF...

AIRTEL YATWAA VIKOMBE VINNE AFRIKA MASHARIKI

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imepokea vikombe vinne katika maonyesho ya Biashara ya Afrika Mashariki kufatia ubora wake katika kutoa huduma na...

ALI KIBA AKANA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA LEADERS

Tamasha lililofanyika Jumamosi iliyopita pande za Leaders limezua utata baada ya vituko vingi kutokea huku staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba kuhusishwa na imani za...

Ronaldo naye huyu hapa na barua yake, aeleza kwanini anaondoka

Tumesikia kwa Real Madrid tayari na tumesikia kwa kila mtu, lakini Cristiano Ronaldo alikuwa kimya na sasa kwa mara ya kwanza Ronaldo ametoa yake...

RIO FERDINAND AMLILIA DE GEA MAN UNITED

Mlinzi wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, mkongwe Rio Ferdinand amemtumia ujumbe golikipa David de Gea ili...

Pep Gurdiola anaweza kubeba ubingwa wake wa kwanza Epl kwa ratiba hii?

Tayari ameshafanya usajili mkubwa na kutumia pesa nyingi kutengeneza timu yake itakayocheza michuano ya Epl msimu wa 2017/2018, lakini pamoja na usajili huo je...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow