Uncategorized

Home Uncategorized

Matokeo ya michezo mikubwa ya kirafiki hii leo.

Timu ya taifa ya Brazil ikiwa ugenini dhidi ya Australia ilitoa kipigo kikubwa cha mabao 4 kwa 0 dhidi ya Australia huku mabao ya...

Pogba kuja Tanzania na Everton?

Klabu ya Everton inajiandaa kuja nchini Tanzania kwa ziara ya kujiandaa na msimu ujao wa ligi ambapo wakiwa hapa wtacheza na washindi wa kombe...

Stars itapigwa nyingi vs Uganga kwa beki ya Banda/Mbonde, Samatta ni namba kumi…’

Na Baraka Mbolembole WAKATI alipokutana na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa rasmi kubeba mikoba ya kuiongoza timu ya Taifa ya...

DaudaTv: Hii ni interview na kocha wa Serengeti Boys kabla ya mechi ya leo

Leo Serengeti Boys wanaingia uwanjani kucheza dhidi ya Angola, kutoka Gabon Dauda Tv inakuletea mahojiano na kocha wa vijana wetu yaliyofanyika siku moja kabla...

Picha 5: Simba wanavyojifua kuandaa mazingira ya ushindi Bukoba

Na Zainabu Rajabu TIMU ya Simba imeendeelea kufanya mazoezi ya hii leo wakijiandaa kucheza na timu ya Kagera Sugar ya Bukoba Jumapili hii katika uwanja...

Habari kutoka Manchester United

Ndani ya siku hizi mbili kumekuwa na habari mbali mbali kuihusu Manchester United.Moja ya habari kubwa ni kufungiwa kwa mshambuliaji wa timu hiyo Zlatan...

Walikuwa 16, sasa kumebaki 8 kuanza kupungua Jumamosi.

Tarehe 14 mwezi huu michuano ya mataifa ya Africa ilianza.Afcon ya mwaka 2017 ni ya 31 toka mashindano haya yaanzishwe.Tola mwanzo wa mashindano haya...

Yaya Toure apiga chini £430,000 kwa wiki.

Yaya Toure ambaye alikua na kashfa ya kubaki Manchester City kwa sababu ya pesa. Sasa hivi Yaya analipwa £220,000 kwa wiki licha kutokua namba...

Full ratiba ya Mapinduzi Cup 2017 

Na Abubakar Khatib 'Kisandu', Zanzibar Timu zitakazoshiriki kombe la Mapinduzi msimu huu zinatarajiwa kupata asilimia kumi ya mapato ya uwanjani baada ya kulipiwa gharama zote...

OFFICIAL: Ngasa amerejea VPL

Mrisho Ngasa amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Mbeya City chini ya kocha mkuu Kinnah Phiri katika harakati za kujiandaa na...

STORY KUBWA