UEFA Champions League

Home UEFA Champions League Page 4

Refa wa Barcelona Vs PSG, Kukutana na Rungu La Uefa.

Barcelona waliweka kumbukumbu itakayodumu kwenye vichwa vya watu kwa siku nyingi zijazo na pengine ikachukua miongo kujirudia baada ya kutoka kufungwa mchezo wa kwanza...

Pique Aomba Ongezeko La Wauguzi. Usiku Wa Jana Utaleta Watoto Wengi.

GERARD PIQUE ameziomba mamlaka za afya na hospitali za Barcelona kuajiri wauguzi wapya na madkatari wa ziada kwa sababu miezi 9 kuanzia jana kutakuwa...

Mambo Kumi Niliyojifunza Baada ya Mchezo wa Barcelona vs PSG. 

1. Tuwapongeze Barcelona, wametufanya tushuhudie mlima ukihamishwa Kilimanjaro na kutoswa pale posta. Tunaweza tusione tena mpaka tunakufa, ni baraka hii. 2. Tunaweza kuamini kuwa Neymar...

5 bora ya comeback zilizowahi kutokea kwenye Champions League.

Mechi kati ya Barcelona na PSG imeingia kwenye rekodi za Champions League.Barcelona inakuwa timu ya kwanza kufungwa bao 4 kwa 0 katika mchezo wa...

Alichokisema kocha wa PSG baada ya kufanyiwa fedheha Nou Camp

Kocha mkuu wa PSG Unai Emery alichanganyikiwa baada ya mechi ya marejeano dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp kufatia kuchapwa bao 6-1...

Guardiola asherekea ushindi wa Barcelona

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameipongeza klabu yake ya zamani Barcelona kwa ushindi wao wa jumla ya magoli 6-5 PSG kwenye michuano ya...

Rekodi 3 zilizovunjwa na Barcelona baada ya kuishangaza Dunia ya soka

Kilichotokea pale Nou Camp usiku wa Jumatano March 8, 2017 ilikuwa ni historia kwenye mchezo wa marudiano katika michuano ya Champions League ambayo imevunja...

Kisa Arsenal, mtangazaji wa Clouds TV amenyolewa

Kweli Arsenal usiiwekee dhamana, imepelekea shabiki wake kunyolewa nywele hadharani tena kama haitoshi mbele ya camera za Clouds TV. Mtangazaji wa Clouds Media Group James...

Timu 5 zilizowahi kutolewa klabu bingwa Ulaya kwa idadi kubwa ya magoli

Story kubwa kwenye anga la michezo ni kuhusu kichapo walichopewa Arsenal na Bayern Munich kwenye mchezo wao wa marudiano wa hatua ya 16 bora...

Rekodi 4 zilizowekwa baada ya Bayern kuisambaratisha Arsenal

Kuna rekodi nyingi mbalimbali zimewekwa baada ya Arsenal kuchezea kipigo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani kutoka kwa Bayern Munich kwenye hatua...

Vichwa vya habari vya magazeti ya England baada ya Arsenal kudhalilishwa

Kichapo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wa Emirates walichotoa Bayern Munich kwa Arsenal ndio habari ya 'mujini' kwenye kurasa za habari za michezo za...

‘Kama vipi Sanchez asepe tu’ – Madee

Juzi kati hapa liliibuka sekeseke kati ya kocha wa Arsenal na Alexis Sanchez ikisemekana wawili hao walipishana maneno kitu kilichopelekea Sanchez kuanzia benchi kwenye...

Maneno ambayo Madee atamwambia Arsene Wenger ikiwa atakutana nae

Arsenal imeondolewa kwenye michuano ya UEFA Champions League kwa aibu ya kipigo cha magoli 10-2 kutoka kwa FC Bayen Munich baada ya mechi mbili...

Luis Enrique: Kama PSG Walifunga Mabao 4, Tunaweza Kufunga 6

Barcelona wamekuwa katika kiwango bora hasa kwenye safu yao ya ushambuliaji ambayo inampa kiburi na imani kocha wa klabu hiyo Luis Enrique kuamini kuwa...

Hakuna Timu Iliyowahi Kumzuia Ronaldo Asivuke Katika Hatua Hii.

Hakuna uwanja wala timu iliyowahi kumzuia Cristiano Ronaldo asivuke kufika katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu bingwa barani Ulaya. Hii inaweza kuwa...

UEFA na UEROPA Zalamba Mabilioni Kutoka BT Sport, Skysports Wapigwa Chini.

Kituo cha kurusha matangazo ya moja kwa moja ya michezo mbalimbali cha BT Sport kimepata zabuni ya kurusha matangazo ya kipekee yatakayohusu michuano ya...

Guardiola Aweka Macho Kwa Wachezaji Wake Dhidi Ya Monaco.

Guardiola anafahamu fika kuwa Manchester City wanahitaji mafanikio kwenye michuano ya Ulaya. Anajua wazi kuwa wanatamani kupata utawala huku kutokana uwekezaji walioufanya kwa miaka...

Sevilla, Mnyama Mwenye Meno Matano Makali.

Sevilla wameendelea kuwa na msimu bora kwenye ligi ya ndani na hata nje ya Hispania ndio maana si ajabu kuwaona wakiwa kwenye hatua ya...

Monaco ina rekodi bora vs Timu za EPL, City wanaisaka robo fainali ya pili...

Manchester City wana kila sababu ya kuwa na wasiwasi na wapinzani wao wa raundi ya 16 bora ya Champions League - Monaco, timu ambayo...

Mtihani Usiozungumzwa Kwa Man City. Wanaitwa Monaco.

Kocha wa klabu ya Monaco, Leonardo Jardim amefanikiwa kutengeneza kikosi chenye damu changa na ambacho kinategemewa kuwastua wengi msimu huu. Katika kikosi hicho ni...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow