Tuesday, September 25, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

MASHABIKI WAMLIZA JOE HART

Mechi ya marudiano ya klabu bingwa Ulaya kuwania kufuzu hatua ya makundi kati ya Manchester City dhidi ya Steaua Bucharest ilikuwa na hisia za...

MAHREZ AISAIDIA LEICESTER KUWEKA REKODI ULAYA

Leicester City wamesherekea kwa mara ya kwanza ushindi kwenye michuano ya klabu Bingwa Ulaya baada ya kuichapa 3-0 Club Brugge ya Ubelgiji . Marc Albrighton...

Manchester United wabeba ubingwa na kukata tiketi ya Champions League

Ilikuwa ni kufa au kupona kwani United wasingeshinda mchezo wao wa fainali dhidi ya Ajax baasi wangepoteza nafasi ya kushiriki michuano ijayo ya champions...

WACHEZAJI WALIOFUNGA HAT-TRICKS NYINGI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

17. Robert Lewandowski – Borussia Dortmund na Bayern Munich (Hat-tricks 2) 16. Ruud van Nistelrooy – PSV Eindhoven&Manchester United (Hat-tricks 2) 15. Roberto Soldado – Valencia...

SAMATTA AANGUKIA KUNDI F UROPA LEAGUE

Baada ya jana Mbwana Samatta kuisaidia Genk kufuzu hatua ya makundi ya Europa League, leo tayari makundi yamepangwa huku Genk ikiwa katika Kundi F...

Usirudishe rimoti, ligi ya mataifa ya uefa hii hapa! Makundi na taarifa muhimu!

Kombe la dunia si limeisha? basi acha wafu wazike wafu wao. Wale waliodhani kwamba tunawarudishia rimoti tunawapa siku 53 tu Uefa hii hapa. Ni alhamisi...

SCHWEINSTEIGER APATA PIGO TENA UNITED, JINA LAKE LATEMWA KIKOSI CHA EUROPA

Siku chache baada ya jina lake kujumuishwa kwenye kikosi cha Man United kwenye msimu wa ligi wa 2016-17, Bastian Schweinsteiger ametoneshwa kidonda na kocha...

Perez ‘On Fire’ au amebahatisha vs Basel?

Lucas Perez amefunga hat-trick yake ya kwanza akiwa na The Gunners wakati washika mitutu wa London wakishinda kwa magoli 4-1 dhidi ya Basel kwenye...

Luis Enriue Awaonya Wachezaji Wake Juu Ya PSG.

Kocha wa Paris Saint-Germain, Unai Emery atatumia uzoefu wake uliopita dhidi ya Barcelona kwenye mchezo wao wa leo, amesema kocha wa Barcelona Luis Enrique. Vilabu hivyo viwili...

AC Milan wapigwa pingu kushiriki michuano ya UEFA

Klabu ya soka ya Ac Milan ya nchini Italia imejikuta matatizoni baada ya shirikisho la soka barani Ulaya Uefa kuwafungia kushiriki katika michuano yao. Milan...

STORY KUBWA