UEFA Champions League

Home UEFA Champions League Page 3

Ulipofikia mchakato mzima wa michuano mipya ya UEFA

Uefa kunani tena? Bodi ya wataalamu wa soka wakisaidiana na UEFA wamekubaliana kwa moyo wa dhati kabisa kuongeza mashindano mengine. Hayao mashindano yatakwenda sambamba na...

Ushindi wa mataji 5 mwaka 2017: Madrid yampa kila mchezaji billion 5.2 za bonasi

Baada ya mafanikio ya kushinda mataji matano kati ya 6, wachezaji wa Real Madrid na benchi la ufundi wamepata bonasi ya €2 million kwa...

Refa wa Barcelona Vs PSG, Kukutana na Rungu La Uefa.

Barcelona waliweka kumbukumbu itakayodumu kwenye vichwa vya watu kwa siku nyingi zijazo na pengine ikachukua miongo kujirudia baada ya kutoka kufungwa mchezo wa kwanza...

Mourinho, Matic & Lindelof wanarejea nyumbani: United haijafungwa na Benfica tangu 2005

SL Benfica na Manchester United FC ni wapinzani wa muda mrefu katika soka la barani ulaya - wakati United wakiuwinda ushindi wa 3 katika...

Dondoo za Shaffih Dauda kuelekea fainali ya UEFA Champions League 2016/17

Dunia itasimama kwa muda ili kushuhudia fainali ya aina yake ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid vs Juventus usiku wa leo Juni...

UEFA Super Cup Atletico Madrid vs Real Madrid hii leo”moto hauzimi”

Kombe hili limeanzishwa mwaka 1972 na kuanza kutambulika rasmi mwaka 1973. Kombe hili hukutanisha mshindi wa vilabu Bingwa barani ulaya na mshindi wa Ligi ya...

Vichwa vya habari vya magazeti ya England baada ya Arsenal kudhalilishwa

Kichapo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wa Emirates walichotoa Bayern Munich kwa Arsenal ndio habari ya 'mujini' kwenye kurasa za habari za michezo za...

UCL Final: Benzema anaisaka rekodi ya mtoto wa mkimbizi Raymond Kopa ndani ya Madrid

Kwa zaidi ya miaka 100 ya historia ya klabu ya Real Madrid, Raymond Kopa ndio alikuwa mchezaji mwenye mafanikio zaidi ya kifaransa katika kikodi...

Klabu ya Samatta itapata kiasi gani Europa?

Masaa kadhaa yajayo Makundi ya Yuropa yatapangwa. Klabu ya Mbwana Samatta itakuwa kwenye kundi la pili kwa ubora. Vibubu.   Pot 1: Sevilla, Arsenal, Chelsea, Zenit, Bayer...

Rekodi 3 zilizovunjwa na Barcelona baada ya kuishangaza Dunia ya soka

Kilichotokea pale Nou Camp usiku wa Jumatano March 8, 2017 ilikuwa ni historia kwenye mchezo wa marudiano katika michuano ya Champions League ambayo imevunja...

Lionel Messi “La Pulga” awafungashia virago Chelsea

"Yule hamna kitu.. ajee England tumuone. La liga mbovu tu. Ligi ya watu wawili. Barca akija England hata kwa Stock City anakaa" Hizi ni mojawapo...

Mourinho “Ni kocha mbovu katika Historia ya EPL”

Manchester, England Kocha mkuu wa Man United amejibu wa vijembe ambavyo vililengwa na aliyekuwa kocha wa Crystals Palace Bwana Frank De Boer. De Boer alisema...

Harry Kane na Cr7 ni mwendo wa bampa to bampa CL, matokeo haya hapa

Harry Kane na Cristiano Ronaldo wote sasa wanakuwa wamefunga mabao 29 katika mwaka huu wa 2017, Kane amefunga mabao hayo katika michezo 27 ikiwemo...

Luis Enrique: Kama PSG Walifunga Mabao 4, Tunaweza Kufunga 6

Barcelona wamekuwa katika kiwango bora hasa kwenye safu yao ya ushambuliaji ambayo inampa kiburi na imani kocha wa klabu hiyo Luis Enrique kuamini kuwa...

Maneno ambayo Madee atamwambia Arsene Wenger ikiwa atakutana nae

Arsenal imeondolewa kwenye michuano ya UEFA Champions League kwa aibu ya kipigo cha magoli 10-2 kutoka kwa FC Bayen Munich baada ya mechi mbili...

#UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya Makundi

Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya inayoanza kesho - tuangalie rekodi mbalimbali zinahusu hatua hiyo ya michuano hii mikubwa zaidi...

UCL: Mourinho ataweza kuutafuna mfupa wa Basel uliomshinda Ferguson?

Baada ya miaka miwili Hatimaye Manchester United usiku wa leo wanarejea tena katika usiku wa ulaya, wakifuzu kupitia mlango wa ubingwa wa UEFA Europa...

UCHAMBUZI: Kilichotokea PSG vs Barcelona

Mara ya mwisho Barcelona kuondolewa kwenye hatua ya 16 ilikuwa dhidi ya Liverpool, miaka kumi iliyopita. Inawezekana kabisa hata sasa safari ikawa imeiva, Inawezekana...

PSG vs Barcelona…uchambuzi

Usiku mzuri unarejea, usiku wa kipekee, usiku unaowaweka watu wote wapenda soka sehemu moja. Hakuna asiyetaka kuona PSG ya Unai Emery dhidi ya akili...

Cristiano Ronaldo anataka kushinda tuzo 7 za dunia na haya ndio matarajio yake katika...

Cristiano Ronaldo alitajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa FiFA kwa mara ya pili mfululizo jana jijini London, na nahodha wa Ureno jana baada...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow