Saturday, September 22, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

Warumi ndio kafara ya Liverpool kwenye tambiko la ubingwa

  AS Roma Vs Liverpool Kuna uwezekano mkubwa mchezo huu ukawa wa kuvutia zaidi kati ya michezo yote tuliyokwisha itazama hapo awali. Ni mchezo mzuri hasa...

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League

Dunia imeshuhudia timu nne zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya vilabu bingwa Ulaya ‘Uefa Champions League’ baada ya mechi za robo fainali...

Juventus Vs Real Madrid: Buffon afunguka kuhusu Ronaldo

Kuna maswali tata ambao Buffon anapaswa kuyajibu. Kwanza zimepita siku 300 baada ya kupata kipigo pale kwenye ya fainali mjini Cardiff. Umri wa Buffon...

Hali ni tete Robo fainali UEFA

Tuachane na hayo yaliyotokea. Haya nayo yanapita. Robo fainali hii hapa. Uingereza ina timu mbili tu kati ya tano. Kila mmoja anatamani apangiwe na...

Lionel Messi “La Pulga” awafungashia virago Chelsea

"Yule hamna kitu.. ajee England tumuone. La liga mbovu tu. Ligi ya watu wawili. Barca akija England hata kwa Stock City anakaa" Hizi ni mojawapo...

Je Chelsea watatumia leseni ya babu kupaki basi Camp Nou

Na Priva ABIUD Mtu anapokwambia Chelsea ni Mbabe wa Barca unapaswa umuulize uliwahi kushinda Camp Nou? Kisha muulize, Kutoa sare Barca darajani ndo umeshakuwa vibonde?...

Mourinho “Ni kocha mbovu katika Historia ya EPL”

Manchester, England Kocha mkuu wa Man United amejibu wa vijembe ambavyo vililengwa na aliyekuwa kocha wa Crystals Palace Bwana Frank De Boer. De Boer alisema...

Tathmini kuelekea mchezo wa Chelsea na Barcelona

Na Haatim Abdul. Bila ya kuangalia ubora wa timu zote mbili wala fomu walizonazo siku zote mechi ya Chelsea na Barcelona haijawahi kuwa rahisi na...

Messi ataonea wengine lakini kwa Chelsea ni nyoka wa kibisa tu

Lionel Messi ni kati ya wanasoka ambao ukitaja wanasoka watatu kuwahi kutokea duniani baasi jina lake lipo na kwa wengi hata ukitaka kutaja jina...

Man City hawazuiliki, Tottenham nao waigomea Juve

Sergio Kun Aguero alifunga moja ya bao wakati City wakiifunga Fc Basel  bao 4 kwa nunge ,na sasa Aguero anakuwa mchezaji wa pili kufunga...

STORY KUBWA