Tuesday, September 18, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

DIEGO SIMEONE, MACHO YANAUMIA KWA KUKOSA MZIMU WA BILL SHANKLY

Na Brian Marian Mrope (Gascoigne Brian) Kila mwanadamu katika hii dunia anakuwa na bahati yake katika maisha. Wapo wachache ambao bahati huwa ya kwao maradufu....

UEFA YAPATA RAIS MPYA

Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (Uefa). Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka nchini Slovenia, amepata kursa...

Walcott aweka rekodi mpya UEFA Champions League

Magoli mawili ya winger wa Arsenal Theo Walcott kwenye mchezo wa Kundi A michuano yha UEFA Champions League dhidi Basel yamemfanya atengeneze rekodi yake kwenye michuano...

UEFA CHAMPIONS LEAGUE WAMEIACHIA RATIBA YA NUSU FAINALI

Tayari ratiba ya nusu fainali ya michuano ya UEFA Champions League imeshatoka baada ya kuchezeshwa draw ya kutafuta nani ataumana na nani kati ya...

Kuelekea UCL Final: Takwimu 10 za mchezo wa Real vs juve

Zimebaki takribani siku 4 kabla ya ulimwengu wa soka kushuhudia mtanange wa fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya kati ya miamba ya Italia...

BAYERN YATULIZWA VICENTE CALDERON

Goli pekee la Saul Niguez limeiweka Atletico Madrid kwenye nafasi nzuri ya nusu fainali ya Champions League dhidi ya miamba ya soka la Ujerumani...

Alichokisema kocha wa PSG baada ya kufanyiwa fedheha Nou Camp

Kocha mkuu wa PSG Unai Emery alichanganyikiwa baada ya mechi ya marejeano dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp kufatia kuchapwa bao 6-1...

STORY KUBWA