Thursday, September 20, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

MOURINHO ARUDI EUROPA KWA MARA YA KWANZA TANGU 2003, UNITED WAKILIWA 1-0

Manchester United wameonesha kiwango kibovu kwenye kampeni yao ya ufunguzi wa Michuano ya Euopa ambapo wamejikuta wakipoteza mchezo wao dhidi ya Feyenoord. Bosi wa United...

Jinsi Granit na Taulant Xhaka walivyo-show love jana

Arsenal wameshinda mchezo wao Kundi A wa Champions League katika Uwanja wa Emirates usiku wa kuamkia leo. Theo Walcott ndiyo alikuwa shujaa wa mchezo, akifunga...

#UCL Match preview- Arsenal uso kwa uso na FC Basel kusaka kuongoza Kundi A...

Arsenal wanaingia dimbani kusaka ushindi wa kwanza wakiwa nyumbanin kwenye mchezo wa Kundi A katika Michuano ya UEFA msimu huu kufuatia mchezo wa awali...

GUARDIOLA AMTEMA TOURE KIKOSI CHA CHAMPIONS LEAGUE

Yaya Toure ameachwa katika kikosi cha Manchester City kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Ikumbukwe kuwa Toure alishawahi kuwa chini ya Guardiola wakati yupo...

MAHREZ AISAIDIA LEICESTER KUWEKA REKODI ULAYA

Leicester City wamesherekea kwa mara ya kwanza ushindi kwenye michuano ya klabu Bingwa Ulaya baada ya kuichapa 3-0 Club Brugge ya Ubelgiji . Marc Albrighton...

STORY KUBWA