Tuesday, September 18, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

JOE HART AINYIMA MADRID USHINDI

Joe Hart ameendelea kuipa matumaini Manchester City ya kufika hatua ya fainali ya Champions League kwa mara ya kwanza baada ya kuokoa michomo miwili...

KAULI YA MWISHO YA ZIZOU KUHUSU RONALDO KUCHEZA AU KUTOCHEZA DHIDI YA MAN CITY

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema kwamba Cristiano Ronaldo pamoja na Karim Benzema wako fiti kuivaa Manchester City kwenye mchezo wa Champions League...

Fainali ya UCL baina ya City vs Bayern – Huenda ikamfanya Pep Guardiola Ajiuzulu

Pep Guardiola amefanikiwa kuwakwepa wachezaji wake wa waajiri wake wajao Manchester City wakati Bayern Munich ilipopangwa kucheza dhidi ya Atletico Madrid katika nusu fainali...

ATLETICO MADRID NA MKOSI WA MANAHODHA WASAIDIZI WANAOVAA JEZI NAMBA 4 KWENYE FAINALI ZA...

Na Zaka Zakazi Ratiba ya mechi za nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya imetoka na kushuhudia mabingwa mara kumi, Real Madrid, ambao wamecheza nusu...

UEFA CHAMPIONS LEAGUE WAMEIACHIA RATIBA YA NUSU FAINALI

Tayari ratiba ya nusu fainali ya michuano ya UEFA Champions League imeshatoka baada ya kuchezeshwa draw ya kutafuta nani ataumana na nani kati ya...

Dakika 452, hakuna goli wala assist – Lionel Messi kwenye kiwango kibovu kuliko wakati...

Je presha ya kufunga goli namba 500 imemkamata Lionel Messi?  Mshindi  wa mara ya 5 wa Ballon d'Or amekuwa kwenye kiwango cha chini zaidi kwenye...

MASHUJAA WATATU USIKU WA MABINGWA ULAYA

Na Athumani Adam Timu ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali, klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA Champion League tayari zimejulikana. Baada ya mechi za Jumanne...

TOP 10 YA HAT-TRICKS ZA KUKUMBUKWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Baada ya Ronaldo kupiga hat-trick dhidi ya  Wolfsburg na kuisaidia klabu yake ya Real Madrid kuvuka hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali...

MAMBO KUMI NILIYOJIFUNZA BAADA YA ROBO FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Inawezekana kabisa watu na wachambuzi mbalimbali wamesahau kama kuna mchezaji bora anayeitwa Koke. Ni nadra sana kukutana na mchezaji bora anayeishi maisha ya ukimya...

BAYERN YAZIFUATA MADRID, CITY NA ATLETICO NUSU FAINALI CHAMPIONS LEAGUE

Bayern Munich imefuzu hatua ya nusu fainali ya Champions League kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuitupa nje ya mashindano klabu ya Benfica...

STORY KUBWA