Monday, September 24, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

Mabadiliko ya UEFA msimu 2018/19

Nchi nne England, Spain, Germany na Italy zitaruhusiwa team nne kwenda katika makundi. vilabu vinne vya nchi hizi hazitacheza hatua ya mchujo hasa yule...

Utabiri wa Geoff Lea na Charles Abel na kilichotokea Real Madrid vs Bayern Munich

Real Madrid imeandika rekodi ya kufuzu fainali ya UEFA Champions League kwa mara ya tatu mfululizo baada ya sare ya 2-2 dhidi ya Bayern...

MADRID BINGWA MARA 11 CHAMPIONS LEAGUE

Real Madrid wametwaa taji la ubingwa wa vilabu bingwa Ulaya kwa mara ya 11 baada ya kuichapa Atletico Madrid kwa mikwaju ya penati kwenye...

Zlatan Ibrahimovic na ‘gundu’ lake la Champions League

Zlatan Ibrahimovic ni mchezaji mwenye mafanikio makubwa kwenye maisha yake ya soka barani Ulaya lakini kuna kitu ambacho kinaendelea kumtesa hadi leo nacho ni...

WACHEZAJI WALIOFUNGA HAT-TRICKS NYINGI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

17. Robert Lewandowski – Borussia Dortmund na Bayern Munich (Hat-tricks 2) 16. Ruud van Nistelrooy – PSV Eindhoven&Manchester United (Hat-tricks 2) 15. Roberto Soldado – Valencia...

Sababu 5 kwanini Barca anaweza kugeuza matokeo na kufuzu vs Juventus

Barcelona wanahitaji historia nyingine leo usiku ili kuendelea kubaki katika michuano ya ulaya - ni ngumu lakini kuna sababu za kuamini kwamba kikosi cha...

Ushindi wa mataji 5 mwaka 2017: Madrid yampa kila mchezaji billion 5.2 za bonasi

Baada ya mafanikio ya kushinda mataji matano kati ya 6, wachezaji wa Real Madrid na benchi la ufundi wamepata bonasi ya €2 million kwa...

WAKALA WA YAYA TOURE AMVAA GUARDIOLA

Wakala wa mchezaji Yaya Toure anaamini kwamba, ni kitendo Pep Guardiola kumwacha mchezaji huyo kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa ni ukandamizaji wa wa...

VIDEO: KRC Genk yaichapa Atletico Bilbao na kuongoza Kundi F Europa League

Usiku wa October 20 imepigwa michezo ya UEFA Europa League, lakini kwa upande wa watanzania wao walikuwa wakisubiri kumshuhudia mshambuliaji wao wa kimataifa Mbwana...

Wakili ampeleka Ramos mahakamani akidai fidia ya bilioni 1.

Waarabu ni watu wenye msimamo mkali. Baada ya Ramos kumuumiza Salah katika mchezo wa klabu bingwa, Waarabu wamesema hapana.... Hili jambo lisiishe hivi hivi....

STORY KUBWA