UEFA Champions League

Home UEFA Champions League Page 2

Kona Ya Fuku-Fuku: Ronaldo nje Bale ndani

⚽ Sio njema hizi ⚽ RONALDO NJE, BALE NDANI KATIKA UTAMBULISHO WA JEZI MPYA ZA REAL MADRID MSIMU WA 2018/19 JUMANNE ya leo klabu ya Real...

Real Madrid walivyoisaidia Man United kiuchumi na kumtoa kwa mkopo Di Stefano baada ya...

Ukiiondoa Barcelona, hakuna klabu nyingine ambayo ina upinzani na Real Madrid katika kila sekta ya soka la kisasa kama Manchester United, kutoka kwenye soka...

Story ya kusisimua ya kinda wa Liverpool aliyefunga goli vs Hoffenheim

Usiku wa August 15, 2017 kulikuwa na mechi za kuwaniakufuzu kucheza UEFA Champions League hatua ya makundi. Kijana Trent Alexander-Arnold alizaliwa pembezoni mwa uwanja wa...

Shaffih Dauda ampa Salah Ballon d’Or

Kutokana na kiwango bora anachoendelea kuonesha mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah kwenye mashindano mbalimbali msimu huu, mchambuzi wa masuala ya michezo Shaffih Dauda amesema...

Juventus Vs Real Madrid: Buffon afunguka kuhusu Ronaldo

Kuna maswali tata ambao Buffon anapaswa kuyajibu. Kwanza zimepita siku 300 baada ya kupata kipigo pale kwenye ya fainali mjini Cardiff. Umri wa Buffon...

Warumi ndio kafara ya Liverpool kwenye tambiko la ubingwa

  AS Roma Vs Liverpool Kuna uwezekano mkubwa mchezo huu ukawa wa kuvutia zaidi kati ya michezo yote tuliyokwisha itazama hapo awali. Ni mchezo mzuri hasa...

Mambo yanayoweza kutokea kwenye UCL wiki hii: Nini hatma ya Mourinho, Simeone, Klopp?

Group A Manchester United iliwabidi kusubiri mpaka siku ya mwisho ya michezo ya makundi ili kujua hatma yao baada ya kukubali kipigo cha 1-0 vs...

Tathmini kuelekea mchezo wa Chelsea na Barcelona

Na Haatim Abdul. Bila ya kuangalia ubora wa timu zote mbili wala fomu walizonazo siku zote mechi ya Chelsea na Barcelona haijawahi kuwa rahisi na...

Rekodi 4 zilizowekwa baada ya Bayern kuisambaratisha Arsenal

Kuna rekodi nyingi mbalimbali zimewekwa baada ya Arsenal kuchezea kipigo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani kutoka kwa Bayern Munich kwenye hatua...

Utabiri wa Geoff Lea na Charles Abel na kilichotokea Real Madrid vs Bayern Munich

Real Madrid imeandika rekodi ya kufuzu fainali ya UEFA Champions League kwa mara ya tatu mfululizo baada ya sare ya 2-2 dhidi ya Bayern...

AC Milan wapigwa pingu kushiriki michuano ya UEFA

Klabu ya soka ya Ac Milan ya nchini Italia imejikuta matatizoni baada ya shirikisho la soka barani Ulaya Uefa kuwafungia kushiriki katika michuano yao. Milan...

5 bora ya comeback zilizowahi kutokea kwenye Champions League.

Mechi kati ya Barcelona na PSG imeingia kwenye rekodi za Champions League.Barcelona inakuwa timu ya kwanza kufungwa bao 4 kwa 0 katika mchezo wa...

El Clasico: Fainali ya mwisho ya Madrid mwaka 2017, wakifungwa wasahau La Liga

Baada ya kushinda fainali ya 5 ndani mwaka 2017 dhidi ya Gremio jumamosi iliyopita - jumamosi hii Real Madrid watacheza fainali ya mwisho ya...

Moto hauzimi ,”UEFA SUPER CUP” DSTV kesho lakini mimi siwezi kusahau Madrid Derby hizi

Kesho mchezo wa Super Cup ambao ni kama king'ora cha michuano ya UEFA Champions League na Europa unapigwa hapo kesho kwa kuwakutanisha mabingwa wa...

Mambo 10 aliyoyaona Coutinho baada ya robo fainali Uefa Champions League

Dunia imeshuhudia timu nne zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya vilabu bingwa Ulaya ‘Uefa Champions League’ baada ya mechi za robo fainali...

Guardiola asherekea ushindi wa Barcelona

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameipongeza klabu yake ya zamani Barcelona kwa ushindi wao wa jumla ya magoli 6-5 PSG kwenye michuano ya...

‘Nilikuwa natafuta goli la Europa League kuliko kitu chochote’ -Samatta

Baada ya Mbwana Samatta kuifungia magoli mawili timu yake ya Genk kwenye mashindano ya Europa League na kuisidia kupata ushindi wa magoli 5-2 ugenini...

Mabadiliko ya UEFA msimu 2018/19

Nchi nne England, Spain, Germany na Italy zitaruhusiwa team nne kwenda katika makundi. vilabu vinne vya nchi hizi hazitacheza hatua ya mchujo hasa yule...

Kwa Messi sawa, lakini vipi kuhusu Griezman na Varane kupotezewa na FIFA?

Tuzo ya mchezaji bora wa dunia ilianza kutoka mwaka 1991 ambapo mchezaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo alikuwa ni Lothar Matthaus akiwa katika kiwango...

Atletico Madrid watwaa Uefa Super Cup 2018, mzimu wa Cr7 umeanza kuitesa Real

Watu walikuwa wanasubiria kwa hamu kuona namna ambavyo Real Madrid wataikabili Atletico Madrid hii leo bila nyota wao Cristiano Ronaldo aliyetimkia Juventus ya nchini...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow