Saturday, September 22, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

Kutoka Lisbon mpaka Milan: Mabadiliko yaliyotokea kwa Atletico Madrid na Real Madrid

Real Madrid na Atletico madrid kwa mara nyingine tena watakutana katika mchezo wa kuamua yupo ni bora barani ulaya, hata hivyo mengi yamebadilika tangu...

EPL vs La Liga: Mafanikio ya Madrid, Atletico, Sevilla, yanazidi kuthibitisha kwamba La Liga...

Fainali ya Champions league itawakutanisha kwa mara nyingine timu mbili kutoka Hispania wakati Atletico watakapokutana tena na Real Madrid kwa mara ya pili ndani...

UCL: Madrid fainali ya 14, Atletico fainali 2 walizocheza zote ziliisha vibaya – hizi...

Hatimaye michuano ya kombe la mabingwa wa ulaya inaelekea ukingoni kwa fainali itakayowakutanisha wababe wa jiji la Madrid - Real Madrid vs Atletico ndani...

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: FAINALI NI MADRID DERBY, ATLETICO VS REAL MADRID

Manchester City imeshindwa kufika fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kushindwa kufurukuta kwenye mchezo wa marudiano dhidi...

Madrid vs City: Ni timu 2 tu za England zilizowahi kushinda Bernabeu – City...

Kuelekea mchezo wa nusu fainali ya pili ya Champions League kati ya Los Blancos vs Manchester City,  rekodi ya Real Madrid ya nyumbani katika...

Guardiola amefeli Bayern Munich: Messi, CR7 na Griezmann wamechangia

Utawala wa Pep Guardiola katika klabu ya Bayern Munich angalau kwa upande wa michuano ya Champions League umefikia mwisho. Kocha huyo mkatalunya, ambaye alimrithi...

VIDEO: ATLETICO YAITOA NISHAI BAYERN MUNICH

Atletico Madrid wametinga fainali ya Champions League kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu kwa kuitupa nje Bayern Munich kwa goli la ugenini...

Madrid, Atletico, Villareal na Sevilla kuweka rekodi ya kucheza fainali zote za ulaya msimu...

Ubora wa ligi kuu ya Hispania umekuwa unathibitishwa na uwezo unaoneshwa na vilabu vya Real Madrid, Atletico Madrid, Villarreal na Sevilla katika michuano ya...

BAYERN YATULIZWA VICENTE CALDERON

Goli pekee la Saul Niguez limeiweka Atletico Madrid kwenye nafasi nzuri ya nusu fainali ya Champions League dhidi ya miamba ya soka la Ujerumani...

MATCH PREVIEW : ATLETICO MADRID VS BAYERN MUNICH

Macho yote ya wapenda soka duniani yatakuwa kwenye dimba la Vicente Calderon usiku wa leo kushuhudia pambano la nusu fainali ya Champions League kati...

STORY KUBWA