Friday, September 21, 2018

UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

Usirudishe rimoti, ligi ya mataifa ya uefa hii hapa! Makundi na taarifa muhimu!

Kombe la dunia si limeisha? basi acha wafu wazike wafu wao. Wale waliodhani kwamba tunawarudishia rimoti tunawapa siku 53 tu Uefa hii hapa. Ni alhamisi...

KAULI YA MWISHO YA ZIZOU KUHUSU RONALDO KUCHEZA AU KUTOCHEZA DHIDI YA MAN CITY

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema kwamba Cristiano Ronaldo pamoja na Karim Benzema wako fiti kuivaa Manchester City kwenye mchezo wa Champions League...

TOP 10 YA HAT-TRICKS ZA KUKUMBUKWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Baada ya Ronaldo kupiga hat-trick dhidi ya  Wolfsburg na kuisaidia klabu yake ya Real Madrid kuvuka hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali...

ZINADE NI MTU SAHIHI MADRID LAKINI NI MUHIMU AZINGATIE HAYA ILI ADUMU

Na Mahmoud Rajab Kushinda taji la Champions League ni jambo kubwa sana kwa kocha yeyote barani Ulaya, ni jambo linaleta heshima kubwa na kujenga historia...

#UCL: Ronaldo amezungumza haya juu ya afya yake kuelekea Milan

Baada ya leo mchana kutoka taarifa kwamba Cristiano Ronaldo ameumia na huenda angeikosa fainali ya Champions League dhidi ya Atletico Madrid wikiendi hii, hatimaye...

VITA YA MADRID: DAUDI NA GOLIATI WANAPOZALIWA NDANI YA TUMBO MOJA!

Na Eusebius Paul Mwanaume ni kiumbe aliyeumbwa na ujasiri mkubwa wa kuzidhibiti hisia zake ndani ya mishipa ya moyo wake. Ni rahisi mwanaume kujikausha hasa...

MADRID VS ATLETICO: NANI KAPITA NJIA NGUMU KUELEKEA FAINALI YA UEFA?

Fainali ya UEFA Champions League ndiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka ulimwenguni kote ambapo miamba ya soka la Hispania itakuwa ikiwania...

HAT-TRICK YA RONALDO YAIBEBA MADRID HADI NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE (Video)

Cristiano Ronaldo ameushangaza ulimwengu kwa mara nyingine tena baada ya kusukuma kambani goli tatu huku Real Madrid ikipindua matokeo ya kupoteza mchezo wa kwanza...

MATCH PREVIEW: NI GRIEZMAN NA TORRES VS RONALDO NA BENZEMA FAINALI YA UEFA LEO

Na Mahmoud Rajab Kutoka kuwa local derby mpaka vita kubwa ya makocha wawili, pambano la aina yake lililojaa visasi. Hilo si pambano jingine bali ni...

Ushindi wa mataji 5 mwaka 2017: Madrid yampa kila mchezaji billion 5.2 za bonasi

Baada ya mafanikio ya kushinda mataji matano kati ya 6, wachezaji wa Real Madrid na benchi la ufundi wamepata bonasi ya €2 million kwa...

STORY KUBWA