UEFA Champions League

Home UEFA Champions League

5 bora ya comeback zilizowahi kutokea kwenye Champions League.

Mechi kati ya Barcelona na PSG imeingia kwenye rekodi za Champions League.Barcelona inakuwa timu ya kwanza kufungwa bao 4 kwa 0 katika mchezo wa...

Alichokisema kocha wa PSG baada ya kufanyiwa fedheha Nou Camp

Kocha mkuu wa PSG Unai Emery alichanganyikiwa baada ya mechi ya marejeano dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp kufatia kuchapwa bao 6-1...

Guardiola asherekea ushindi wa Barcelona

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameipongeza klabu yake ya zamani Barcelona kwa ushindi wao wa jumla ya magoli 6-5 PSG kwenye michuano ya...

Rekodi 3 zilizovunjwa na Barcelona baada ya kuishangaza Dunia ya soka

Kilichotokea pale Nou Camp usiku wa Jumatano March 8, 2017 ilikuwa ni historia kwenye mchezo wa marudiano katika michuano ya Champions League ambayo imevunja...

Kisa Arsenal, mtangazaji wa Clouds TV amenyolewa

Kweli Arsenal usiiwekee dhamana, imepelekea shabiki wake kunyolewa nywele hadharani tena kama haitoshi mbele ya camera za Clouds TV. Mtangazaji wa Clouds Media Group James...

Timu 5 zilizowahi kutolewa klabu bingwa Ulaya kwa idadi kubwa ya magoli

Story kubwa kwenye anga la michezo ni kuhusu kichapo walichopewa Arsenal na Bayern Munich kwenye mchezo wao wa marudiano wa hatua ya 16 bora...

Rekodi 4 zilizowekwa baada ya Bayern kuisambaratisha Arsenal

Kuna rekodi nyingi mbalimbali zimewekwa baada ya Arsenal kuchezea kipigo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani kutoka kwa Bayern Munich kwenye hatua...

Vichwa vya habari vya magazeti ya England baada ya Arsenal kudhalilishwa

Kichapo cha magoli 5-1 kwenye uwanja wa Emirates walichotoa Bayern Munich kwa Arsenal ndio habari ya 'mujini' kwenye kurasa za habari za michezo za...

‘Kama vipi Sanchez asepe tu’ – Madee

Juzi kati hapa liliibuka sekeseke kati ya kocha wa Arsenal na Alexis Sanchez ikisemekana wawili hao walipishana maneno kitu kilichopelekea Sanchez kuanzia benchi kwenye...

Maneno ambayo Madee atamwambia Arsene Wenger ikiwa atakutana nae

Arsenal imeondolewa kwenye michuano ya UEFA Champions League kwa aibu ya kipigo cha magoli 10-2 kutoka kwa FC Bayen Munich baada ya mechi mbili...

STORY KUBWA