Trending

Home Trending Page 5
Trending Now

Ubinafsi na kumtusi Ronaldo kulivyomuondoa Nistelrooy Man Utd

Ruud van Nistelrooy aliuzwa kutoka Manchester United kwenda Santiago Bernabeu kutokana na Sir Alex Ferguson kuchoshwa na tabia zake. Kwa mujibu makala zilizoabdijwa na mwandishi...

Ndanda walifeli hapa vs Yanga

Na Thomas Ng'itu Timu ya Ndanda imechapwa bao moja kwa sifuri na Yanga, mechi inayowafanya Yanga kusogea mpaka nafasi ya tatu wakiwa na pointi nane. Katika...

Manara akanusha kukalia kuti kavu kwa Omog – Simba wakiifuata Mbao kesho

Na Thomas Ng'itu Klabu ya Simba kesho alfajiri itaondoka Jijini na ndege ya Air Tanzania kuelekea mkoani Mwanza kujiandaa na mchezo dhidi ya Mbao, utakaopigwa...

Bocco: Nipeni muda, nitafunga zaidi

Na Zainabu Rajabu. Straika wa Simba, John Bocco amewaomba mashabiki wa timu kumvumilia kwa muda kabla ya kuonyesha makeke yake aliyokuwa nayo Azam. Bocco aliyeifungia...

Mayanja azungumzia ubingwa, atambia safu yao ya ulinzi

Na Zainabu Rajabu Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja, amesema ushindi walioupata dhidi ya Mwadui unazidi kuwahahikishia nafasi ya wao kutwaa ubingwa msimu huu. Pia aliipongeza...

Okwi is on fire, Mkude ageuka Mfalme Simba

Na Thomas Ng'itu Straika Emmanuel Okwi wa Simba, ameendelea kutamba katika kinyang'anyiro cha kuwania kugombea kiatu cha dhahabu, baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo...

Paul Nonga bado hakijaeleweka

Na Thomas Ng'itu Hali ya Straika wa Mwadui, Paul Nonga bado haijajulikana anarudi rasmi uwanjani baada ya kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja tangu...

UCL: Mourinho ataweza kuutafuna mfupa wa Basel uliomshinda Ferguson?

Baada ya miaka miwili Hatimaye Manchester United usiku wa leo wanarejea tena katika usiku wa ulaya, wakifuzu kupitia mlango wa ubingwa wa UEFA Europa...

#UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya Makundi

Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya inayoanza kesho - tuangalie rekodi mbalimbali zinahusu hatua hiyo ya michuano hii mikubwa zaidi...

Refa wa kike atengeza historia Bundesliga

Historia mpya imeandikwa katika ligi kuu ya Ujerumani - Bundesliga, inawezekana jambo ambalo hapa Tanzania tumelizoea kuona mama/dada zetu wakiongoza michezo ya soka nchini...

Kuelekea mchezo wa Azam V Simba: Haya ndio Mambo 7 muhimu kuhusu John Bocco...

Ni mmoja wa washambuliaji bora katika kizazi cha sasa cha soka. Amecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara kuanzia msimu wa 2008/09 kwa mafanikio...

Refa mghana aiponza Bafana Bafana – ushindi wao vs Senegal wafutwa

Mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 kati ya Senegal dhidi ya South Africa uliopigwa November 2016 umefutwa na sasa...

Kuelekea World Cup 2018: Spain wapo tayari kutawala tena soka la dunia

Inaonekana sasa magwiji wa soka barani ulaya wameanza kuonyesha kwamba wana nguvu ya kushindana na wenzao wa Amerika ya kusini kama vile Brazil kwamba...

La Liga’s Back: Madrid wanaisaka rekodi bora ya ufungaji ya Santos ya Pele

Real Madrid wanaendelea kuwa timu ya aina yake kila siku, wakishinda taji baada ya taji chini ya uongozi wa Zinedine Zidane, na sasa wana...

Wallace Karia Rais mpya TFF

Matokeo ya uchaguzi mkuu wa viongozi wapya wa TFF yametangazwa rasmi mjini Dodoma baada ya zoezi zima la uchaguzi kukamilika. Rais mpya wa TFF ni...

Kuelekea mchezo wa Madrid vs Man Utd, hizi ndio takwimu na rekodi za UEFA...

Msimu mpya wa soka barani unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati utakapopigwa mtanange utakaowakutanisha wababe wa ulaya msimu uliopita. Mabingwa wa Champions League Real Madrid...

Usajili wa Neymar PSG: Qatar, Siasa za Mashariki ya kati, biashara zilivyochangia uhamisho wa...

Ulimwengu wa soka unasubiri kwa hamu kukamilika kwa uhamisho wa mshambuliaji wa kibrazil Neymar kutoka FC Barcelona kwenda Paris Saint Germain (PSG) kwa adabya...

Mourinho Vs Guardiola nani kiboko kwa kumwaga mikwaja: Wametumia zaidi ya trillioni 5 kwenye...

Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, soka barani ulaya limeendelea kuwa biashara kubwa. Wachezaji wamekuwa wakiuzwa na kununuliwa kwa mabilioni ya pesa kutoka timu...

Ndoto ya wadau wa Ndondo mikoni imewafikia Mcheza, kaeni mkao wa kula

Ile ndoto ya wadau wengi wa Ndondo Cup kufika mikoani hatimaye imetimia baada ya kampuni ya michezo ya kubashiri ijulikanayo kwa jina la Mcheza...

Mayweather vs McGregor: Namna pambano hili linavyotabiriwa kuingiza trillion 2.5

Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow