Saturday, September 22, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Taarifa mpya kutoka uongozi wa Simba SC

Uongozi wa Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, umetoa taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura kwa ajili...

SAMATTA ACHEZA KWA MARA YA KWANZA GENK IKIIBUKA NA USHINDI

Mbwana Samatta amecheza kwa mara ya kwanza kwenye klabu Genk ambayo amejiunga nayo hivi karibuni ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Ubelgiji inayofahamika...

Ushindi ilioupata URA kwenye Mapinduzi Cup

Mchezo wa pili wa Mapinduzi Cup ulioanza saa 10:00 jioni umemalizika kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar na kuishuhudia URA ambao ndio mabingwa watetezi...

Ajibu, Mavugo, waendelea kuchafua rekodi ya Mtibwa mbele ya mnyama

Magoli ya Ibrahim Ajibu na Laudit Mavugo yametosha kuifanya Simba iendeleze ubabe mbele ya Mtibwa Sugar baada ya kuifunga kwa mara nyingine tena kwenye...

YANGA KUKABIDHIWA TAJI LA 26 NA WAZIRI NCHEMBA

Na Baraka Mbolembole Ofisa habari wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini, Alfred Lucas amethibitisha kwamba Waziri wa Kilimo na Mifugo, Mh. Mwigulu Nchemba ndiye...

HATIMAYE UFARANSA YATUA FAINALI EURO 2016, USO KWA USO NA URENO

Wenyeji Ufaransa wamefanikiwa kufuzu kucheza hatua ya fainali ya Euro 2016 kwa ushindi wao wa kwanza dhidi ya Ujerumani kwenye michuano mikubwa tangu mwaka...

HIVI NDIVYO WASHINDI VPL WATAKAVYO ‘CHAFUKA’ PESA

Na Baraka Mbolembolea Ligi Kuu ya kandanda Tanzania Bara (VPL) itafikia mwisho wikendi ijayo kwa timu zote 16 kucheza game zao za 30. Mechi nane...

MUOGELEAJI WA TANZANIA AMEFAFANUA ALIVYOSHINDA KUOGELEA LAKINI HAKUSONGA MBELE OLYMPIC

Hilal Hemed Hilal ni mwanamichezo mwingine ambaye alipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Olympic hapa Rio nchini Brazil yeye akiwa upande wa mchezo...

Picha, Video: Mke wa David Beckham alivyotembelea Kenya

Mwanamitindo Victoria Beckham ambaye ni mke wa star wa mstaafu wa soka David Beckham ametembelea nchini Kenya kwa ajili ya kampeni ya Beyond Zero  inayosimamiwa...

SIKILIZA ALIYOYASEMA MWAKALEBELA KUHUSU MKUTANO MKUU WA TFF (Audio)

Kuelekea mkutano mkuu wa TFF Jumamosi ya March 12, 2016 wadau mbalimbali soka wamekuwa wakijadili agenda ambazo zitajadiliwa kwenye mkutano huo huku agenda namba...

STORY KUBWA