Trending

Home Trending Page 4
Trending Now

Kichuya kawaliza tena Yanga

Simba imepata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi tangu March 8, 2015 ilipopata ushindi wa goli 1-0. Mechi nyingine tatu zilizofata baada ya hapo,...

UCL Final: CR7 atamfikia Messi? Je ataendelea kumuonea Buffon?

Mpaka wakati michuano ya UEFA Champions League ikiwa inaingia kwenye hatua ya robo fainali - ilionekana wazi kwamba rekodi ya Cristiano Ronaldo kuendelea kuwa...

The Bad Boys: Wachezaji 11 waliowahi kuhukumiwa kwenda Jela kwa makosa ya kubaka, madawa,...

Wanasoka wamezoeleka kuwepo kwenye line up za makocha wao, lakini baadhi wamezoeleka kuwepo kwenye line up za polisi pia!. Hapa, tuangalie wachezaji 11 ambao wamekumbwa...

Kuelekea UCL Final: Takwimu 10 za mchezo wa Real vs juve

Zimebaki takribani siku 4 kabla ya ulimwengu wa soka kushuhudia mtanange wa fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya kati ya miamba ya Italia...

TETESI 6 ZA USAJILI ZINAZOTIKISA ULAYA

Kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili barani Ulaya habari kubwa na nyingi katika mchezo wa soka ni zile zinazohusu usajili wa wachezaji kutoka...

Real Madrid walivyoisaidia Man United kiuchumi na kumtoa kwa mkopo Di Stefano baada ya...

Ukiiondoa Barcelona, hakuna klabu nyingine ambayo ina upinzani na Real Madrid katika kila sekta ya soka la kisasa kama Manchester United, kutoka kwenye soka...

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara 2016/2017

Kikosi cha Yanga kimefanikiwa kutetea ubingwa wake wa VPL msimu huu ikiwa ni mara ya tatu mfululizo tangu walipolitwaa taji hilo msimu wa 2014/15...

Kikosi mchanganyiko cha Man Utd na City cha Shaffih Dauda

Kuelekea katika mchezo wa Manchester Derby usiku huu kati ya Manchester United na Manchester City katika uwanja wa Etihad, mchambuzi Shaffih Dauda ana kikosi...

Messi, Zlatan, Sanchez, Ozil, Mata na wachezaji wengine 34 ambao watakuwa huru kuanzia January...

Ijumaa ya tarehe 1, December, Lionel Messi atakuwa yupo huru kujadiliana na timu nyingine yoyote kwa ajili ya kujiunga nayo kwa uhamisho huru,...

Kuelekea World Cup 2018: Spain wapo tayari kutawala tena soka la dunia

Inaonekana sasa magwiji wa soka barani ulaya wameanza kuonyesha kwamba wana nguvu ya kushindana na wenzao wa Amerika ya kusini kama vile Brazil kwamba...

Waingereza wanasema soka linarudi nyumbani – watauvuka mtihani wa Colombia 🇨🇴?

Mchezo wa Colombia vs England katika dimba la Spartak Stadium jijini Moscow ndio utakuwa mchezo wa kufunga pazia la 16 bora bora katika 2018...

Mambo yanayoweza kutokea kwenye UCL wiki hii: Nini hatma ya Mourinho, Simeone, Klopp?

Group A Manchester United iliwabidi kusubiri mpaka siku ya mwisho ya michezo ya makundi ili kujua hatma yao baada ya kukubali kipigo cha 1-0 vs...

Samatta kaweka mbili kwenye usiku wa Europa League

255 Champion Boy Mbwana Samatta kafanya yake kwenye usiku wa Ulaya wakati klabu yakeya KRC Genk ikicheza mchezo wa kwanza wa 16 bora wa...

Exclusive: Carlos Quieroz kuhusu Ronaldo, namna anavyoifahamu Tanzania na namna Iran walivyojipanga na World...

Timu ya Taifa ya Iran inajiandaa kucheza mashindano ya kombe la dunia ifikapo June mwaka huu, baada ya kucheza katika michuano ya 2014 -...

Unajipanga kuja Russia kwenye World Cup? Hizi ndio gharama za tiketi, usafiri, malazi, vyakula...

Huenda ukawa unatamani kuwa sehemu ya mamilioni ya wapenzi wa soka watakaofika nchini Russia kushuhudia michuano mikubwa zaidi ya soka duniani. Umebakia muda mfupi sana...

Wachezaji 5 watajwa kumfukuzisha kazi Ancelotti

Masaa kadhaa baada ya Carlo Ancelotti kupoteza ajira yake katika klabu bingwa ya Ujerumani - FC Bayern Munich kutokana mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha -...

Messi, CR7, Bale, Buffon, Sanchez na mastaa wengine ambao huenda wakaangalia World Cup kwenye...

Hatua ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 inakaribia kumalizika, lakini kuna uwezekano mkubwa wachezaji wenye majina makubwa wakaikosa michuano hii mikubwa zaidi...

RONALDO VS MESSI, NANI MKALI ZAIDI TIMU YA TAIFA?

Na Naseem Kajuna Cristiano Ronaldo na Lionel Messi huwezi kuongelea magwiji hawa wawili bila kuwalinganisha na ni upinzani wao huu ambao umeweza kuwafanya wachezaji hawa...

Barca wataweza kumaliza msimu na La Liga, Pichichi, na Zamora?? Oblak na Ronaldo kikwazo

Wakiwa wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 11 mbele ya Atletico Madrid, sasa inaonekana Barcelona huenda wakashinda taji la La Liga mapema mwezi April,...

Baada ya kuwanyoosha Zenji, Himid ana haya ya kuwaambia Simba

Azam FC wamekuwa klabu gumzo sana katika siku za usoni, aina ya wachezaji walionao pamoja na uwekezaji ndani ya klabu hiyo, kuelekea pambao la...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow