Trending

Home Trending Page 4
Trending Now

AUBAMEYANG AZIDI KUWA TISHIO ULAYA (Video)

Tottenham Hotspur wameshindwa kabisa kufurukuta mbele ya Borussia Dortmund na kujikuta wakichapwa kwenye uwanja wao wa nyumbani na kuwaacha wajerumani hao wakitinga robo fainali...

Phra Prommangkalachan: Kiongozi wa kibudhaa aliye nyuma ya mafanikio ya Leicester City

Leicester City kuongoza ligi kuu ya England mpaka kufikia mwezi March ni jambo ambalo limezua gumzo kubwa miongoni mwa wafuatiliaji wa soka duniani. Timu...

SAMATTA AWEKA REKODI MPYA GENK (Video)

Mbwana Samatta ameendelea kufanya yale ambayo watanzania wengi wamekuwa wakisubi kwa hamu kutoka kwa nyota huyo tangu alipojiunga na klabu ya Genk ya Belgium...

MAGOLI 39 YA BOCCO, MAGULI, JEREMIAH, AJIB, BADO UNAMLAUMU MKWASA?

Na Baraka Mbolembole Washambuliaji wanne kati ya 6 walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wamefunga jumla ya magoli 39 katika ligi kuu ya...

BOCCO AMEZALIWA KUZIFUNGA YANGA/SIMBA, NI MSHAMBULIZI MKALI ZAIDI AMBAYE HAJATOKEA

Na Baraka Mbolembole Mechi yake ya kwanza tu kukutana na Yanga SC alifunga bao, na kufikia mechi ya 16 ya ligi kuu Azam FC dhidi...

Real Madrid vs AS Roma: Madrid kuvunja mwiko dhidi ya Waitaliano na Kufuzu Robo...

Real Madrid CF inakutana na AS Roma leo katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora wakiwa wameshaingiza mguu mmoja ndani kwenye robo...

FIFA kufanya mabadiliko ya adhabu za faulo, kadi nyekundu na substutions kuruhusu wachezaji wanne

Siku chache baada ya uchaguzi wa kumchagua Raisi wa shirikisho la soka duniani FIFA kumalizika na muitaliano Gianni Infantino kushinda - leo imetoka taarifa...

Ubishi wa Leo Messi Vs Ronaldo wasababisha Wanaijeria Kuuana India

Story ya kusikitisha inayohusisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na ushabiki wa mpira, kimeripotiwa na gazeti la Hindustan Times.   Kijana Obinna Micheal Durumchukwa aliyekuwa na...

Baada ya matokeo mabovu ya Arsenal na Spurs: Huenda Leceister akawa bingwa EPL

Baada ya mechi za jana usiku za ligi kuu ya England, hatimaye zimebaki takribani mechi 10 kabla ligi hiyo kumalizika, na hali inaonyesha inazidi...

Taji la ‘Comeback Kings’ sasa lipo mikononi mwa Barcelona 

FC Barcelona wanaongoza ligi kwa pointi 8 mbele ya Atletico Madrid wanaoshika nafasi ya pili na pointi 12 mbele ya wapinzani wao wakubwa Real...

NINI KINAENDELEA KATI YA NEYMAR NA HUYU STAR WA HOLLOYWOOD?

Je Neymar ana date na mwigizaji wa Holloywood? Inawezekana isiwe kweli, lakini kuna picha (SnapChat) iliyosababisha magazeti ya udaku yaandike mengi kuhusu star huyo...

HASSAN ISIHAKA, ‘NAHODHA MTOTO’ ALIYESHINDWA KUWA VICTOR COSTA MPYA SIMBA SC

Na Baraka Mbolembole Walinzi wangapi namba 5 wakali umewahi kuwaona Simba SC? Siwezi kuzungumza kuhusu George Masatu mmoja wa 'ma-libero' wanaotajwa kuwa mahiri zaidi kuwahi...

PATA FURSA YA KUANGALIA PICHA 12 SAMATTA AKIWA KAZINI BELGIUM

Nyota wa Bongo Mbwana Samatta jana aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kufanikiwa kupachika bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya...

SAMATTA: KUFUNGA GOLI LA KWANZA NI CHANGAMOTO KWANGU (Audio)

KRC Genk imefanikiwa kuifunga Club Brugge mabao 3-2, lakini story kubwa ni kumshuhudia Mbwana Ally Samatta akifunga bao la tatu ambalo lilikuwa ni bao lake...

SAMATTA APIGA BAO LA KWANZA GENK (Video)

Mshambuliaji wa kitanzania Mbwana Samatta leo amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza ndani ya klabu ya Genk wakati klabu hiyo ikiibuka na ushindi wa...

PICHA: SHAFFIH DAUDA ALIVYOKUTANA NA WADAU WA SOKA KWENYE UCHAGUZI WA RAIS WA FIFA

February 20 2016 ulimwengu wa soka ulipata rais wao atakaeongoza shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) hadi mwaka 2019 ambaye ni Gianni Infantino. Wadau mbalimbali...

RONALDO AWAPIGA DONGO WACHEAJI WA MADRID BAADA YA KIPIGO CHA ATLETICO

Cristiano Ronaldo amewashukia wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kipigo cha jana kutoka kwa mahasimu wao Atletico Madrid, akidai kwamba Madrid wangeweza kuwa...

MANCHESTER UNITED VS ARSENAL: MAMBO 4 MAKUBWA UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KABLA YA MCHEZO

4. Taarifa za majeruhi   Manchester United:  Kuna idadi ya wachezaji wa kadhaa wa United ambao wako kwenye orodha ya majeruhi, lakini kuna mashaka kama...

Divock Origi wa Liverpool Awazungumzia Alikiba na Diamond – Amtaja anayemkubali kati yao

Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi...

KUTOKA ZURICH: SHAFFIH DAUDA NA UCHAMBUZI WA UCHAGUZI WA FIFA

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limepata rais mpya Gianni Infantino ambaye atakaa madarakani hadi mwaka 2019 kuongoza chama hicho kinachosimamia mchezo wa soka duniani. Shaffih...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow