Trending

Home Trending Page 4
Trending Now

Hatimaye FIFA wautambua rasmi ubingwa wa pili wa dunia wa Man United

Takribani baada ya miaka 18, hatimaye Manchester United wametambuliwa rasmi kuwa mabingwa wa dunia kwa ya pili kufuatia maamuzi mapya yaliyochukuliwa na FIFA. Shirikisho hilo...

Man Utd vs Spurs: Mourinho na Mnyonge wake Pochettino, DeGea vs Lloris, Kane, Pogba...

Kwa mara ya kwanza ndani ya takribani kipindi cha mwezi, United watarejea nyumbani Old Trafford wikiendi hii kukipiga dhidi ya Spurs. Mchezo huu unazikutanisha...

FIFA waanza kufikiria kufanya mabadiliko kwenye suala la uraia wa wachezaji

Shirikisho la soka duniani FIFA linafikiria kubadilisha sheria zinazoongoza uhalali wa mchezaji kuitumikia timu ya taifa aitakayo. Kwa sheria zilizopo sasa, wachezaji ambao wameshacheza mechi...

Cristiano Ronaldo anataka kushinda tuzo 7 za dunia na haya ndio matarajio yake katika...

Cristiano Ronaldo alitajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa FiFA kwa mara ya pili mfululizo jana jijini London, na nahodha wa Ureno jana baada...

Safu butu ya ushambuliaji ya Atletico Madrid itawagharimu msimu huu

Ufungaji wa wa magoli ni tatizo ambalo limedhihirika kuwa ni kikwazo kikubwa cha mafanikio ya Atletico Madrid msimu huu na matokeo yake timu imekuwa...

Mourinho, Matic & Lindelof wanarejea nyumbani: United haijafungwa na Benfica tangu 2005

SL Benfica na Manchester United FC ni wapinzani wa muda mrefu katika soka la barani ulaya - wakati United wakiuwinda ushindi wa 3 katika...

Ronaldo vs Messi: Nani kuwa wa kwanza kutimiza hat tricks 50?

Lionel Messi amethibitisha kwa mara nyingine usiku wa Jumanne kwamba alizaliwa kuucheza huu mchezo unaoitwa soka baada ya kuisadia Argentina kufuzu kucheza kombe la...

Messi, CR7, Bale, Buffon, Sanchez na mastaa wengine ambao huenda wakaangalia World Cup kwenye...

Hatua ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 inakaribia kumalizika, lakini kuna uwezekano mkubwa wachezaji wenye majina makubwa wakaikosa michuano hii mikubwa zaidi...

Wakiwa kwenye vita ya miaka 6 – Syria kujifuta machozi na kufuzu kombe la...

Wakati miji mbalimbali ya nchi hiyo ikiwa katika hali mbaya na mamilioni ya wananchi wake wakiwa wanapigika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe,...

Manji ameachiwa huru kesi ya dawa za kulevya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mwenyekiti wa zamani wa Yanga Yusuf Manji katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya iliyokuwa inamkabili. Upande...

Wachezaji 5 watajwa kumfukuzisha kazi Ancelotti

Masaa kadhaa baada ya Carlo Ancelotti kupoteza ajira yake katika klabu bingwa ya Ujerumani - FC Bayern Munich kutokana mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha -...

“Seat Belt” yamuokoa Kun Aguero na kifo lakini avunjika mbavu

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Sergio Kun Aguero amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea kuvunjika mbavu mjini Amsterdam nchini Uholanzi ambako alikwenda kwa...

Atletico vs Chelsea: Simeone ataendeleza rekodi bora ya nyumbani?

Atlético wamepoteza mchezo mmoja tu katika michezo 23 waliyocheza chini ya Diego Simeone katika uwanja wa Vicente Calderón – leo wanacheza mchezo wao wa kwanza...

Ubinafsi na kumtusi Ronaldo kulivyomuondoa Nistelrooy Man Utd

Ruud van Nistelrooy aliuzwa kutoka Manchester United kwenda Santiago Bernabeu kutokana na Sir Alex Ferguson kuchoshwa na tabia zake. Kwa mujibu makala zilizoabdijwa na mwandishi...

Ndanda walifeli hapa vs Yanga

Na Thomas Ng'itu Timu ya Ndanda imechapwa bao moja kwa sifuri na Yanga, mechi inayowafanya Yanga kusogea mpaka nafasi ya tatu wakiwa na pointi nane. Katika...

Manara akanusha kukalia kuti kavu kwa Omog – Simba wakiifuata Mbao kesho

Na Thomas Ng'itu Klabu ya Simba kesho alfajiri itaondoka Jijini na ndege ya Air Tanzania kuelekea mkoani Mwanza kujiandaa na mchezo dhidi ya Mbao, utakaopigwa...

Bocco: Nipeni muda, nitafunga zaidi

Na Zainabu Rajabu. Straika wa Simba, John Bocco amewaomba mashabiki wa timu kumvumilia kwa muda kabla ya kuonyesha makeke yake aliyokuwa nayo Azam. Bocco aliyeifungia...

Mayanja azungumzia ubingwa, atambia safu yao ya ulinzi

Na Zainabu Rajabu Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja, amesema ushindi walioupata dhidi ya Mwadui unazidi kuwahahikishia nafasi ya wao kutwaa ubingwa msimu huu. Pia aliipongeza...

Okwi is on fire, Mkude ageuka Mfalme Simba

Na Thomas Ng'itu Straika Emmanuel Okwi wa Simba, ameendelea kutamba katika kinyang'anyiro cha kuwania kugombea kiatu cha dhahabu, baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo...

Paul Nonga bado hakijaeleweka

Na Thomas Ng'itu Hali ya Straika wa Mwadui, Paul Nonga bado haijajulikana anarudi rasmi uwanjani baada ya kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja tangu...
471,141FansLike
1,415,861FollowersFollow
65,729FollowersFollow

Instagram