Trending

Home Trending Page 3
Trending Now

Ronaldo amepoteza shabaha?

Cristiano Ronaldo alikosa nafasi nyingi za kufunga lakini Alvaro Morata aliyeingia kutoka benchi alikuwa shujaa baada ya kufunga goli la ushindi akiwa anaadhimisha birthday...

CHICHARITO AZUNGUMZIA HATMA YA VAN GAAL OLD TRAFFORD

Striker wa zamani wa Manchester United Javier Hernandez anaamini Louis van Gaal anaweza akafanikiwa akiwa Old Trafford licha ya kuwa na matokeo magumu msimu...

Samatta amehoji kwa nini Farid bado yupo Tanzania?

Ni ndoto ya kila mtanzania mpenda maendeleo ya soka la Bongo kuona wachezaji wengi wanatoka kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya Tanzania kwa...

Sababu kwanini Paul Pogba amefungiwa kucheza vs Bournemouth 

​Kiungo mpya wa Manchester United Paul Pogba amesimamishwa kuitumikia timu yake kwa mchezo wa kwanza wa Premier League,  chama cha soka cha England kimethibitisha.  Pogba,...

Audio: Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ atangaza kuachana na soka

Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ametangaza rasmi kuacha kufundisha soka la Tanzania kutokana na maamuzi mabovu katika baadhi ya michezo ligi...

JE CHELSEA WATAWEZA KUWATOA PSG DARAJANI?

Chelsea na PSG walioneshana kazi katika pambano la kwanza la hatua ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya lakini ni wenyeji PSG ambao...

YANGA KUKABIDHIWA TAJI LA 26 NA WAZIRI NCHEMBA

Na Baraka Mbolembole Ofisa habari wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini, Alfred Lucas amethibitisha kwamba Waziri wa Kilimo na Mifugo, Mh. Mwigulu Nchemba ndiye...

VIDEO: Wawa ametaja kisa cha kuitosa Azam

Jumatatu November 14, picha za beki wa kati wa Azam FC Pascal Wawa zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha nyota huyo raia wa Ivory...

Kichuya akabidhiwa tuzo Simba

Uongozi wa klabu ya Simba umemkabidhi Shiza Kichuya tuzo ya mchezaji bora wa mwezi September baada ya winga huyo kuisaidia klabu yake kupata pointi...

Alichokisema Mayanja kuhusu Azam kuelekea fainali ya Mapindu Cup2017

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amewatoa shaka mashabiki wa mnyama kuhusiana na kasi ya Azam hususan baada ya mtani wao kuchezea kipondo cha...

Mashabiki wa Prisons sio watu wa mchezo-mchezo

Unaweza kusema kila mtu anatamba nyumbani kwake, hiyo imekuja baada ya shabiki mmoja wa Simba kujikuta akichezea kichapo cha haja baada ya kukatiza kwenye...

MICHUANO YAKE YA TANO KAMA KOCHA WA BRAZIL, DUNGA BILA NEYMAR BRAZIL ITAFANYA NINI...

Na Baraka Mbolembole Carlos Dunga anajiandaa kwa michuano yake ya tano mikubwa kama kocha wa Brazil. Nahodha huyo wa zamani wa 'Five time Champions' alishinda...

BAYERN YATULIZWA VICENTE CALDERON

Goli pekee la Saul Niguez limeiweka Atletico Madrid kwenye nafasi nzuri ya nusu fainali ya Champions League dhidi ya miamba ya soka la Ujerumani...

Mpango wa Real Madrid kumsajili upya Morata na kumuuza kwa faida aidha Bayern or...

Real Madrid wana mpango kabambe wa kushughulikia suala la usajili wa Alvaro Morata. Lakini sio mpango ambao mashabiki wao wengi walikuwa wakiutegemea.    Baada kuonyesha...

WAYNE ROONEY AINGIWA HOFU MAN UNITED

Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amekiri kwamba yuko kwenye wakati mgumu baada ya klabu kuanza kuleta wachezaji wenye majina makubwa. Hadi sasa United imeshakamilisha...

MOURINHO AFUNGUA AKAUNTI YA INSTAGRAM KWA MARA YA KWANZA, AME-POST UJUMBE HUU…

Baada ya kujiunga rasmi na  Manchester United, Jose Mourinho sasa ameamua kufungua akaunti ya Instagram. Siku sita tu tangu tangu afungue akaunti hiyo, tayari ameweka...

RONALDO VS MESSI, NANI MKALI ZAIDI TIMU YA TAIFA?

Na Naseem Kajuna Cristiano Ronaldo na Lionel Messi huwezi kuongelea magwiji hawa wawili bila kuwalinganisha na ni upinzani wao huu ambao umeweza kuwafanya wachezaji hawa...

Siri ya ‘utamu’ wa Niyonzima

Haruna Niyonzima ni moja ya nyota wa Yanga ambao kwa sasa ndiyo gumzo mjini pamoja na Simon Msuva kutokana na kufanya kweli siku za...

CHUNGU, TAMU, MIEZI 32 YA MAZLINZI TFF – Part IV

Na Lasteck Alfred ZIMEBAKI siku chache,  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, atimize miaka mitatu tangu aiingie madarakani usiku wa kuamkia Oktoba 28,...

TANZIA: MTIBWA YAFIKWA NA MSIBA MZITO

Klabu ya Mtibwa Sugar imempoteza daktari wake wa timu Noel Kigadye baada kufariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa malaria. Shaffihdauda.co.tz inaungana na wadau...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow