Wednesday, January 17, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Sweden watafanikiwa kumstaafisha Buffon bila kombe la dunia machinjoni San Sirro?

Italy wapo katika hatari ya kukosa kucheza kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1958 ikiwa tu watashindaa kuifunga Sweden katika mchezo...

Kwanini itakuwa Guardiola na Man City kumaliza msimu bila kufungwa

Hawazuiliki, hawashindiki, hawafungiki - hivi ndivyo wanavyoelezewa Manchester City msimu huu. City wameanza msimu na moto wa gesi, wakiweka rekodi za kila aina. Wamekuwa timu...

Rekodi 8 ambazo Messi bado hajavunja: CR7 kizingiti kwenye rekodi 3

Lionel Messi ametimiza mechi 600 akiwa na FC Barcelona Jumamosi iliyopita wakati Barca walipoifunga Barcelona 2-1 katika La Liga. Tayari ameshavunja na kuweka rekodi...

Sahau kuhusu PSG na Man City, hii ndio timu yenye safu kali ya ushambuliaji...

Ilikuwa ikitegemewa kwamba klabu ya Paris Saint Germain ingekuwa moja ya timu ambayo ingekuwa kiwembe kwenye suala la ufungaji msimu huu, lakini hakuna aliyedhani...

Ukame wa magoli La Liga: Messi anaokoa jahazi, CR7, Suarez, Griezmann chali

LaLiga wanapitia katika kipindi cha ukame miongoni mwa wafungaji magoli - lakini kuna mwanaume mmoja anabakia kuwa na katika kilele cha ufungaji katika msimu...

Cazorla: Hivi ndivyo majeruhi yalivyotishia ndoto yangu, upasuaji mara 8, almanusra kukatwa mguu

Ukubwa wa majeruhi ya muda ya Santi Cazorla unaelezewa na mchezaji mwenyewe ambaye aliambiwa na madaktari kwamba akiweza tu kutembea na mwanae kwenye bustani...

Misimu 13, Mechi ya 600, Mataji 32, tuzo 21 – Messi anaandika historia mpya...

Lionel Andres Messi Cuccittini, jina la mwanasoka anayetajwa kuwa bora wa wakati wote ambaye maisha yake yote ya soka yamehusishwa na jina la klabu...

Chelsea vs Man United: Mourinho kuumaliza uteja wa United Darajani?

Chelsea na Manchester United wanaingia katika mchezo wa Jumapili katika dimba la Stamford Bridge ili kuweza kupunguza pengo la pointi dhidi ya viongozi wa...

Mourinho alivyoiboresha Man Utd baada ya Moyes na LVG – Jumapili darajani

Wakati akijibu maswali kuhusiana na kwamba kwanini Romelu Lukaku amekosa majukumu ya kupiga penati baada ya mchezo wa Jumanne iliyopita wa Champions League vs...

Messi ashinda fidia ya mil. 200, kesi ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu

Kampuni yenye jukumu la kusimamia haki za taswira ya Lionel Messi imetangaza kwamba mchezaji huyo ameshinda kesi ya udhalilishaji dhidi yake na kupata malipo...

STORY KUBWA

http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2016/07/Tecno-N2S-N8-Pullup-01.jpg