Thursday, September 20, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Kaburu anatuhumiwa ni mamluki

Katibu wa tawi la Simba (Ngurumo za Simba) Felix Makau amemtuhumu makamu mwenyekiti wa Simba Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ kuwa ni mamluki wa Yanga kutokana...

Mshahara mpya wa Sanchez utata…£250,000..£300,000 au £500,000?

Kwa sasa moja ya midahalo inayoendelea kwenye ulimwengu wa michezo ni kuhusu mshahara mpya wa Sanchez ambae labda anaweza ku sign mkataba mpya na...

Kapombe na siri ya kutupia nyavuni

Inawezekana kabisa umeshawahi kujiuliza swali kwamba kwanini beki wa kulia wa Azam FC alikuwa na uwezo mkubwa wa kufunga magoli mengi msimu uliopita pengine...

Barua ya TFF kwa Simba kuhusu kesi iliyopo mahakamani

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeiandikia Simba barua ya kuomba ufafanuzi juu ya hatua zilizochukuliwa na klabu hiyo kuhusu kuwepo na kesi mahakamani inayoihusu...

Yanga imemkataa mchezaji wa Zambia

Obrey Chirwa kutolewa kwa mkopo kwenda FC Platinum na klusajiliwa kwa Winston Kalengo katika kikosi cha Yanga ni taarifa ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi sana...

Ngasa hakujielewa 2009, tunamuelewaje 2016?

Na Abdul Mkeyenge MOJA ya nukuu ninazozipenda ni ile inayosema ukimuelewa Mwanamke umeielewa dunia. Hii ni nukuu inayopendwa kutumiwa na rafiki yangu Ally Kamwe katika...

Cristiano Ronaldo kaweka rekodi mpya

Star wa Real Madrid na mshindi wa Ballon d'Or 2016 Cristiano Ronaldo amefunga goli la 500 wakati Real Madrid ikipata ushindi wa magoli 2-0 dhidi...

OFFICIAL: Ngasa amerejea VPL

Mrisho Ngasa amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Mbeya City chini ya kocha mkuu Kinnah Phiri katika harakati za kujiandaa na...

Yanga imefunga dirisha la usajili wa dirisha dogo

Ikiwa dirisha dogo linafungwa usiku wa December 15, klabu ya Yanga imeweka wazi wachezaji iliowasajili kuingia katika klabu hiyo pamoja na waliotoka ndani ya...

Manara kawataja walioingia na kutoka Simba – Dirisha dogo

Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Joseph Omog. Kwenye maboresho...

STORY KUBWA