Sunday, September 23, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

UONGOZI WA SIMBA UMEKUJA NA JIPYA KUHUSU DEWJI KUINUNUA KLABU YAO

Uongozi wa wekundu wa Msimbazi Simba umevunja ukimya juu ya suala la timu hiyo kupewa mtu binafsi ili kuiendesha wakisema hawajapokea barua rasmi kutoka...

NDOLANGA HAJAKUBALINA NA ADHABU WALIOPEWA BLATTER, PLATINI, YEYE ALITAKA WAPEWE ADHABU HII…

Kiongozi mkongwe wa soka la Tanzania pamoja na mdau mkubwa wa mchezo huo Alhaj Muhidin Ndolanga ameibuka na kuweka hadharani maoni yake juu ya...

EL MAAMRY KASEMA MENGI KUHUSU KUFUNGIWA KWA BLATTER NA PLATINI, HIKI NDICHO KILICHO MSHTUA

Mdau mkubwa soka nchini Said el Maamry ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa soka ndani na nje ya Tanzania ameeleza namna...

Takwimu Mbaya Zaidi Kwenye EPL – Manchester United Yaongoza

Msisitizo wa Manchester United kucheza soka la kumiliki mpira zaidi chini ya kocha Louis van Gaal umefanya wawe wanapiga pasi nyingi zaidi kabla ya...

Biashara ya Kwanza Kati ya Wenger na Mendes Ilivyoingia Mdudu

Msimu wa usajili wa wachezaji kwa vilabu vya soka barani ulaya unatarajiwa kufunguliwa rasmi mnamo January 1, 2016, na kama ilivyo kawaida vilabu mbalimbali...

Miaka 9 ya Wayne Rooney na Man United – Uchambuzi wa Kitakwimu

Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney leo anatarajia kutimiza mechi yake ya 500 tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo mnamo 2004. Rooney anatarajiwa kurejea dimbani leo...

Van Gaal Amepoteza Haki ya Kuamua Ataondoka Vipi Old Trafford

Kwanza ni muhimu kuliweka hili wazi, kwa namna inavyoonekana na kutokana na utaratibu wao katika uajiri na kufukuza, pamoja na kuendelea kufanya vibaya bado...

Wolfsburg vs Man United: Van Gaal Hajawahi Kupoteza Mechi vs Wolfsburg, United Inatakiwa Kushinda...

VfL Wolfsburg na Manchester United FC zinakutana leo kwenye mechi ya sita ya hatua ya makundi huku timu zote zikitaka matokeo chanya ili kujihakikishia...

Nani Anaongoza Kufunga Penati Tangu La Liga Ianzishwe – Mess, Ronaldo? Golikipa aliyeokoa michomo...

Umefanyika utafiti wa takwimu za soka katika ligi kuu ya Uhispania - La Liga na shirika la Centre for Research on Spanish Football History and...

Hii Ndio Rekodi ya Barcelona ya Miaka 14 Iliyovunjwa dhidi ya Valencia

Kasi ya klabu ya FC Barcelona jumamosi ya wiki iliyopita ilipigwa 'stop' na Valencia, huku rekodi zao kadhaa zikivunjwa baada ya matokeo ya sare...

STORY KUBWA