Tuesday, September 25, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Wolfsburg vs Man United: Van Gaal Hajawahi Kupoteza Mechi vs Wolfsburg, United Inatakiwa Kushinda...

VfL Wolfsburg na Manchester United FC zinakutana leo kwenye mechi ya sita ya hatua ya makundi huku timu zote zikitaka matokeo chanya ili kujihakikishia...

Baada ya Gunners na Chelsea Kunyooshwa – Man City yaitoa kifua mbele EPL

Baada ya Arsenal na Chelsea  kutopata matokeo mazuri katika mechi za kwanza za hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu bingwa ya ulaya,...

#EURO 2016: LEO NI VITA YA NDUGU WAWILI, AUSTRIA VS HUNGARY

Leo michuano ya Euro inaendelea tena nchini Ufaransa, ambapo katika kundi F kutakuwa na kibarua kizito kati ya Austria na Hungary. Mchezo huu ambao...

KAULI YA KANU KULIKOSOA SHIRIKISHO LA SOKA LA NIGERIA NI SOMO KWA TFF

Nohodha wa zamani wa kikosi cha Super Eagles Nwankwo Kanu amekosoa uongozi wa Shirikisho la mpira wa Miguu Nigeria (NFF) kwa kusema umechangia kwa...

TFF IMEFANYA MAAMUZI MAPYA KUHUSU ILE KESI YA UPANGAJI MATOKEO

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), leo Mei 3, 2016 imetupilia mbali rufaa saba kati ya nane zilizowasilishwa mbele...

Del Bosque Atangaza Kustaafu 2016, Mrithi wake ni Guardiola au Enrique?

Unapokuwa kocha na ukafanikiwa kushinda kila kombe ambalo umewahi kushindani kuanzia ngazi ya klabu na mpaka ngazi ya timu za taifa, ni mafanikio makubwa...

TFF KUWAWEKA KIKAANGONI WATUMISHI WAKE

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na taarifa zilizosambaa katika mitandao kuanzia jana zikiwahusisha viongozi wa timu moja ya daraja la kwanza...

STORY KUBWA