Wednesday, September 19, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

MESSI AWEKA REKODI NYINGINE KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA

Leo Messi ameandika rekodi nyingine tena kwenye maisha yake ya soka wakati FC Barcelona ikiiangushia kipondo ‘heavy’ timu ya Valencia kwenye mchezo wa kombe...

MTAZAMO WANGU: ‘MSN’ KUUSAMBARATISHA MZIMU WA CHAMPIONS LEAGUE…

Na Aidan Mlimila Kwa mara ya kwanza vilabu vya Ulaya vilianza kushiriki mashindano ya klabu bingwa Ulaya mwaka 1955 wakati huo yakijulikana kama ‘European Cup’....

HII NDIYO MO BEJAIA ITAKAYOKUTANA NA YANGA KWENYE MCHEZO WA KWANZA HATUA YA MAKUNDI

Na Mahmoud Rajab Kuelekea kinyang'anyiro cha kuwania kombe la Shirikisho barani Afrika, ambapo mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga wamo pia, tunakuletea mfululizo wa wasifu...

#NDONDOCUP2016: UHURU SELEMANI ATUPA MBILI TEMEKE MARKET IKITINGA 16 BORA

Sports Etra Ndondo Cup imeendelea tena leo kwenye viwanja viwili tofauti jijini Dar ikiwa ni hatua ya makundi. Kwenye uwanja wa Chuo cha Utalii zamani...

IMEVUJA: Mshindi wa Ballon d’Or 2016 ameshajulikana

Gazeti la Hispania ‘Mundo Deportivo’ Jumanne lilitoka na taarifa kwamba, mshindi wa Ballon d’Or 2016 tayari anafahamika. Habari hiyo iliwastusha baadhi ya watu, inadaiwa Cristiano...

JKT RUVU YAIPIGA STOP SIMBA

Baada ya kupata ushindi wa magoli 3-1 kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ndanda FC, imba SC imejikuta ikibanwa na maafande wa JKT...

Jerry Muro ameomba ‘poo’ TFF

Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala...

MIGI ANASEMAJE KUHUSU NAFASI YA AZAM MBELE YA ESPERANCE?

Kiungo wa Azam FC, Jean Mugiraneza ‘Migi’, amesema kuwa licha ya timu hiyo kukabiliwa na mchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Esperance, bado ina...

PICHA 6: KESSY ALIVYONOGESHA PARTY LA YANGA FA CUP

Beki wa zamani wa Simba SC Hassan Kessy alikuwepo uwanjani kuishuhudia timu yake mpya ya Yanga ikicheza fainali ya FA Cup hatimaye kutwaa kombe...

Arsenal yasukumwa nje ya EFL

Magoli ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand yameitupa nje Arsenal kwenye kombe la EFL na kuipeleka Southampton hatua ya nusu fainali kwa mara ya...

STORY KUBWA