Wednesday, September 19, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Serengeti Boys yatimkia Rwanda

Leo September 22, kikosi cha timu ya taifa ya vijana U17 maarufu kama Serengeti Boys kimesafiri asubuhi kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuweka kambi...

Kibarua cha Allardyce England matatani, akumbwa na tuhuma kubwa za rushwa

Meneja wa Timu ya Taifa ya England Sam Allardyce anaweza kupoteza kibarua chake mbele ya FA baada ya kiwezezesha timu timu hiyo kucheza mchezo...

TULIJUA WACHEZAJI WA KUWADHIBITI YANGA – KOCHA MEDEAMA

Kocha wa kikosi cha Medeama Pride Yaw Owusu amesema, walikuwa wanajua wachezaji gani nyota wa Yanga wanaotakiwa kuchungwa ili kuwadhibiti. Japo hakuwataja kwa majina ni...

GUARDIOLA AMJAZA UPEPO ZLATAN KUELEKEA MANCHESTER DERBY

Bosi wa Manchester City Guardiola ameelezea heshima yake juu ya Zlatan Ibrahimovic na kusema kuwa ni moja ya wachezaji bora kabisa duniani licha ya...

KLOPP KUPOTEZA FAINALI YA TANO MFULULIZO?

Kuelekea kwenye fainali ya UEFA Europa League leo tarehe 18 May Liverpool ya Uingereza itacheza dhidi Sevilla ya Hispania. Pamoja na Klopp kuiwezesha timu ya...

GIGGS AMKABIDHI VAN GAAL TIMU YA TAIFA YA ENGLAND

Jana usiku Ryan Giggs alionekana akifanya kazi yake mpya ya uchambuzi kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha Televisheni cha ITV, akiwa pembeni ya...

Baada ya kuchinja kondoo, Iraq yapata ushindi wa kwanza kufuzu Kombe la Dunia 2018

Hii ni katika harakati za kuhakikisha Iraq inafuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 zitakazofanyika Urusi. Hadi sasa Iraq bado hiana ponti katika...

ALICHOKISEMA MAXIME BAADA YA KUSHINDWA KUTWAA MAPINDUZI CUP

Baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup kocha mkuu wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime amesema amekubali matokeo ya mchezo huo kwa timu...

FA YAMKUTA NA HATIA AGUERO, SASA KUPIGWA PINI MECHI TATU

Straika wa Manchester City Sergio Aguero amekutwa na hatia na Chama cha Soka England FA kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa West Ham...

ULIMUONA INFANTINO BAADA YA KUTANGAZWA AMESHINDA URAIS WA FIFA? (Video)

Gianni Infantino jana aliibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa FIFA ambaye ataongoza shirikisho hilo hadi mwaka 2009. Infantino alipata support kubwa kutoka kwa...

STORY KUBWA