Friday, October 19, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Ni marufuku kusajili mchezaji wa Kituruki – Russia, kisa hiki hapa.

Vilabu vya nchini Russia vimepigwa marufuku rasmi kusajili mchezaji wa aina yoyote kutoka klabu za Uturuki kuanzia dirisha la usajili la mwezi January 2016.  Katazo...

KWAHERI KOBE BRYANT, KWAHERI BLACK MAMBA,KWAHERI ROLE MODEL WA VIJANA WENGI WAPENDA BASKET. NI...

Kobe Bryant , ambaye alisaidia Lakers kushinda mataji  matano ya NBA baada ya kuwa katika NBA kwa zaidi ya miaka  20 ambayo yote ameichezea...

JAMIE VARDYYYYYY…. AWEKA ALAMA YAKE RASMI KATIKA EPL, AVUNJA REKODI

Mchezaji na mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amevunja rekodi ya kuwa mshambuliaji aliyefunga magoli mengi zaidi na katika mechi nyingi mfululizo. Jamie Vardy kavunja...

Kwanini Naamini Usajili wa Ronaldo Man United Sio Sahihi

Wakati fulani msimu uliopita katika tukio la hisani, Kocha wa Manchester United Louis van Gaal alipewa listi ya wachezaji ambao kijana mmoja shabiki wa...

Je Man United itafuzu 16 bora leo? Timu zinazoweza kufuzu na kutolewa leo Champions...

Baada ya kitimutimu cha usiku wa jana wa Ligi ya mabingwa ambapo tulishuhudia FC Barcelona wakiipa kisago cha 6-1 AS Roma na kufuzu kwenda...

Ni aina gani ya matokeo vs Porto yataivusha Chelsea kwenda 16 bora

Mashabiki wa Chelsea jana waliachwa wakikuna vichwa wakifikiria ni matokeo ya namna gani yatakayoihakikishia timu yao kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya ligi...

Muller aweka rekodi mpya na kuwafunika Messi, Raul na Ronaldo

Bayern Munich wamepata ushindi wao wa 4 katika hatua ya makundi ya Champions League maimu huu - lakini leo pia ilikuwa ni siku ya...

Arsenal kuaga leo? – Timu gani zitavuka na kutolewa kwenye Champions League wiki hii

Nafasi 3 kati ya 16 za hatua ya mtoano wa UEFA Champions League zimeshachukuliwa na bado kuna vilabu 27 vinagombea nafasi 13 zilizobaki huku...

Ronaldinho na wachezaji wengine 5 waliowahi kupewa heshima hii Santiago Bernabeu 

Andres Iniesta alionyesha moja ya mchezo mzuri sana ambao utakumbukwa kwa muda mrefu juzi katika dimba la Santiago Bernabeu - wakati FC Barcelona ikiinyosha...

Aguero, Tevez, Suarez katika Listi ya Wafungaji Bora EPL kutoka Amerika Kusini

Kipigo cha jumamosi iliyopita kutoka kwa Liverpool ni kitu ambacho watu wengi katika klabu ya Manchester City  lakini ilikuwa ni siku ya kumbukumbu nzuri...

STORY KUBWA