Monday, September 24, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Rangi ya viatu ambayo hutomuona Cristiano Ronaldo anakivaa

Kama ulikuwa hujui basi kamata hii, Cristiano Ronaldo hapendi wala hataki kusikia kuhusu kuvaa viatu vya rangi nyeusi tupu. Max Blau ni rais wa kampuni...

Ushindi mwingine umeiongezea Simba pointi Mapinduzi Cup 2017

Simba imefikisha pointi 6 baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 mbele ya KVZ kwenye mchezo wao wa pili wa Kundi A michuano ya...

Video: URENO YASOGEA MBELE EURO 2016

Bao la Ricardo Quaresma kwenye muda wa nyongeza limeipa ushindi Ureno na kuipeleka hatua ya 16 bora ya michuano ya Euro 2016 na itakutana...

Manchester wanafurahishwa na kazi ya Jose Mourinho

Licha ya kuonekana mbio zake kuelekea ubingwa wa ligi kuwa ni ndoto ngumu sana lakini uongozi wa Manchester United bado wana imani kubwa na...

Kwa heri captain Gerrard, shujaa wa Istanbul

Na Athumani Adam Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada ya miaka 19 tangu alipocheza mchezo wake wa...

Bossou amewaponda waandishi wa Bongo

Beki wa kati wa klabu ya Yanga Vicent Bossou, amewashutumu waandishi wa habari wa Bongo kuwa ni waongo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bossou ameandika...

VAN PLUIJM AMLILIA JOHAN CRUYFF

Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amemzungumzia gwiji wa soka wa Uholanzi na Barcelona Johah Cruyff kuwa ni mtu wa pekee kuwahi...

Video: Ronaldo ameweka rekodi nyingine ya kucheka na nyavu

Cristiano Ronaldo amefunga magoli manne wakati Ureno wakitoa kichapo cha magoli 6-0 dhidi ya Andorra kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za Kombe...

Kabla ya Manchester derby, wafahamu wachezaji 7 waliowahi kucheza Man United na Man City

Ni marachache kushuhudia wachezaji kuhamia kwenye klabu hasimu hususan kama timu ni za mji mmoja. Lakini tangu Bob Milarvie alipovichezea vilabu vyote vya Manchester...

JERRY MURO ALIA NA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemwandikia barua ofisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro likimuita kwenye kujitetea kwenye kamati ambayo...

STORY KUBWA