Sunday, September 23, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Klabu ya Young Star Club ya Sudan Kusini yavamiwa na watu wenye silaha.

Basi liliokuwa limebeba wachezaji wa klabu ya Sudani Kusini, Young Star Club walivamiwa na watu wasiojulikana wenye silaha wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Torit...

TUNAHITAJI USHINDI WA KWANZA NYUMBANI-MWAMBUSI

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema kikosi chao kinahitaji ushindi kwenye mchezo wao wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia unatarajiwa...

Mapya yaibuka kuhusu kijana aliyesimamishwa na TFF kwa tuhuma za kusaini timu zaidi ya...

Na Baraka Mbolembole SIKU chache baada ya Shirikisho la soka nchini-TFF kumsimamisha mchezaji, Christopher Paschal Mshanga aliyeichezea Kagera Sugar U20 vs Yanga SC katika mchezo...

MALINZI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS WA FKF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...

KOCHA WA AZAM FC BYE BYE,ABWAGA MANYANGA SABABU HIZI HAPA.

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya...

#EURO 2016: MASHABIKI WA ENGLAND WAHUKUMIWA JELA UFARANSA

Jumla ya mashabiki sita wa wa England wamefungwa kutokana na kuhusika katika vurugu zilizotokea jijini Marseille katika michezo ya awali ya Euro mwaka huu,...

JE ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU? PETR CECH YEYE IMANI YAKE IPO...

Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana...

#Euro2016 -England wawanyoosha ndugu zao – Rashford akiweka rekodi

Michuano ya Euro 2016 imeendelea tena mchana wa leo kwa mchezo uliowakutanisha wana ndugu wawili kutoka katika himaya ya Malkia Elizaberth: England vs Wales.  Kabla...

MACHO YAKISUBIRI UTAMU WA EURO, MIGUU IKITABASAMU KULE AMERICA KUSINI

Na Brian Marian Mrope (Gascoigne Brian) Moja kati ya vitu ambavyo nimefurahi kuvisikia katika masikio yangu ni kuhusu michuano ya Euro na Copa America. Vimekuja...

VARDY AENDELEZA MOTO ENGLAND IKILALA NYUMBANI (Video)

Mambo bado yameendelea kumwendea poa Vardy msimu huu, baada ya kuiongoza Leicester kukaa kileleni mwa Premier League, ameifungia England magoli mawili ndani ya siku...

STORY KUBWA