Friday, October 19, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Staa wa FC Barcelona ahukumiwa kwenda Jela Mwaka 1 kwa ukwepaji Kodi

Klabu ya FC Barcelona imekuwa na historia ya kuhusishwa na ukwepaji kodi mbalimbali kupitia wachezaji wake maarufu, akiwemo Lionel Messi, Neymar na Javier Mascherano,...

Sababu za Messi kupewa Tuzo ya Mshambuliaji Bora La Liga na Kwanini Naamini Neymar...

WIKI hii kulitolewa tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ kwa msimu uliopita. Mojawapo ni ile ya mshambuliaji bora wa msimu ambayo ilichukuliwa...

Benitez hali tete – Madrid waondolewa Copa Del Rey kwa uzembe wake

Wakati kukiwa na presha ya kuhakikisha timu yake inapata matokeo chanya, baada ya mfululizo wa matokeo mabaya katika La Liga, Hali inazidi kuwa tete...

‘SKENDO FIFA’ U.S.A YAWAKAMATA MAAFISA 16 KWA RUSHWA

Maafisa 16 zaidi wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA, wanashikiliwa na shirika la kijasusi la Marekani FBI kwa skendo lukuki za rushwa...

Manchester United ‘Inayoboa’ Itaweza Kutwaa Ubingwa wa EPL? – Majibu yangu Haya Hapa

Manchester United waliikosa nafasi ya kupanda juu ya kilele cha Premier League baada ya mechi nyingine ya sare waliyocheza katika kiwango cha chini vs...

Dalili za CR7 kuondoka Bernabeu zazidi kuongezeka: Awatibua Madrid kwa jambo hili

Wakati tetesi za kuondoka Real Madrid mwishoni mwa msimu huu zikizidi kushika hatamu kwa mchezaji Cristiano Ronaldo, klabu yake ya Real Madrid imekasirishwa na...

Mwenye Nacho Huongezewa: Hivi Ndivyo Man City walivyotajirishwa na Wachina Leo hii

Waswahili wana msemo usemao mwenye nacho huongezewa, msemo huu leo unepata mfano mwingine hai, baada ya moja ya klabu tajiri duniani kutoka EPL kuzidi...

Jana Usiku Zimetolewa tuzo za La Liga: Messi, Ronaldo, Neymar wachuana tena

Baada ya jana mchana kutajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia, wanasoka walioingia kwenye Top 3 ya tuzo hiyo, Messi, Ronaldo na Neymar...

Top 3 ya Ballon D’or kuwagharimu Barcelona Bil. 5 – sababu hii hapa

Katika biashara yoyote unayoifanya katika ulimwengu huu kuna vitu vya aina mbili: Hasara na faida. Katika biashara ya usajili ya kumsajili Neymar Dos Santos,...

Cristiano Ronaldo kaiweka rekodi hii mpya La Liga

Jana jumapili Cristiano Ronaldo alifunga goli lake la 9 kwenye msimu huu wa La Liga katika mechi dhidi ya Eilbar.  Goli la jana la nahodha...

STORY KUBWA