Friday, September 21, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

EXCLUSIVE INTERVIEW: HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA YANGA KUTANGAZA KUMPIGA CHINI

Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, hatimaye uongozi wa Yanga umetangza rasmi kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka Rwanda Haruna Niyonzima. December 28,...

Chelsea vs Man Utd: The Blues Ndio Kiboko Ya United Katika EPL Tangu 1992...

LOUIS VAN GAAL asingependa kuitazama rekodi/takwimu ya timu yake Manchester United dhidi ya Chelsea katika miaka ya hivi karibuni.  The Blues wana rekodi nzuri dhidi...

Hii ndio Listi ya Wachezaji Wanaochukiwa Zaidi Ulaya

Inaonekana kuna mtu kutoka kwenye gazeti la kila siku la Ufaransa L’Equipe alikuwa na sikukuu mbaya ya Krismasi. Mwandishi huyo habari ametumia kurasa mbili za...

Chelsea Vs Man United: Hiddink Kulipiza Kisasi kwa Kumfukuzisha Kazi Van Gaal?

September 19, 1998, katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Guus Hiddink na Louis van Gaal, kila mmoja alikaa mbali na mwenzie kwa umbali yadi moja...

EXLUSIVE INTERVIEW: UNATAKA KUJUA KWANINI SAMATTA ANAKWEDA KUCHEZA UBELGIJI, AMESAINI MKATA WA MUDA GANI?...

Safari ya  nyota wa Tanzania na TP Mazembe Mbwana Samatta kwenda kukipiga katika bara la Ulaya sasa imefika patamu baada ya manager wa mchezaji...

MBWANA SAMATTA ATUA UBELGIJI KUKAMILISHA USAJILI

Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinasema kwamba, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR Mbwana Samatta muda...

NAPE NNAUYE AIPIGA CHINI KAMATI YA ‘MAGUMASHI’ STAND UNITED

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati mgogoro wa klabu ya Stand United ya Shinyanga na kuivunja kamati iliyokuwa ikisimamia...

MCHEZAJI MWENYE MKONO MMOJA AFUNGA KIKAPU CHAKE CHA KWANZA KWENYE MASHINDANO YA VYUO YA...

Mungu ndiye mwamuzi ya yote, Mungu ndiye mpangaji na yeye ndiye mpaji. Kijana anayesoma katika chuo cha Florida Zach Hodskins lazima anauishi usemi huu....

MAJABVI AKUBALI YAISHE SIMBA

Klabu ya Simba inapenda kuufahamisha umma kuwa mchezaji wake toka Zimbabwe Justice Majabvi ameomba kurejea  kwenye timu baada ya kutafakari upya uamuzi wake wa...

JE ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA EPL MSIMU HUU? PETR CECH YEYE IMANI YAKE IPO...

Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana...

STORY KUBWA