Sunday, March 18, 2018

Trending

Home Trending
Trending Now

Mwenye Nacho Huongezewa: Hivi Ndivyo Man City walivyotajirishwa na Wachina Leo hii

Waswahili wana msemo usemao mwenye nacho huongezewa, msemo huu leo unepata mfano mwingine hai, baada ya moja ya klabu tajiri duniani kutoka EPL kuzidi...

Jana Usiku Zimetolewa tuzo za La Liga: Messi, Ronaldo, Neymar wachuana tena

Baada ya jana mchana kutajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia, wanasoka walioingia kwenye Top 3 ya tuzo hiyo, Messi, Ronaldo na Neymar...

Top 3 ya Ballon D’or kuwagharimu Barcelona Bil. 5 – sababu hii hapa

Katika biashara yoyote unayoifanya katika ulimwengu huu kuna vitu vya aina mbili: Hasara na faida. Katika biashara ya usajili ya kumsajili Neymar Dos Santos,...

Cristiano Ronaldo kaiweka rekodi hii mpya La Liga

Jana jumapili Cristiano Ronaldo alifunga goli lake la 9 kwenye msimu huu wa La Liga katika mechi dhidi ya Eilbar.  Goli la jana la nahodha...

Ni marufuku kusajili mchezaji wa Kituruki – Russia, kisa hiki hapa.

Vilabu vya nchini Russia vimepigwa marufuku rasmi kusajili mchezaji wa aina yoyote kutoka klabu za Uturuki kuanzia dirisha la usajili la mwezi January 2016.  Katazo...

KWAHERI KOBE BRYANT, KWAHERI BLACK MAMBA,KWAHERI ROLE MODEL WA VIJANA WENGI WAPENDA BASKET. NI...

Kobe Bryant , ambaye alisaidia Lakers kushinda mataji  matano ya NBA baada ya kuwa katika NBA kwa zaidi ya miaka  20 ambayo yote ameichezea...

JAMIE VARDYYYYYY…. AWEKA ALAMA YAKE RASMI KATIKA EPL, AVUNJA REKODI

Mchezaji na mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amevunja rekodi ya kuwa mshambuliaji aliyefunga magoli mengi zaidi na katika mechi nyingi mfululizo. Jamie Vardy kavunja...

Kwanini Naamini Usajili wa Ronaldo Man United Sio Sahihi

Wakati fulani msimu uliopita katika tukio la hisani, Kocha wa Manchester United Louis van Gaal alipewa listi ya wachezaji ambao kijana mmoja shabiki wa...

Je Man United itafuzu 16 bora leo? Timu zinazoweza kufuzu na kutolewa leo Champions...

Baada ya kitimutimu cha usiku wa jana wa Ligi ya mabingwa ambapo tulishuhudia FC Barcelona wakiipa kisago cha 6-1 AS Roma na kufuzu kwenda...

Ni aina gani ya matokeo vs Porto yataivusha Chelsea kwenda 16 bora

Mashabiki wa Chelsea jana waliachwa wakikuna vichwa wakifikiria ni matokeo ya namna gani yatakayoihakikishia timu yao kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya ligi...

STORY KUBWA