Trending

Home Trending Page 2
Trending Now

VPL: Jeremiah Juma, Atupele Green ‘wamedoda,’ timu hizi 9 zirudi sokoni kusaka wafungaji…

Na Baraka Mbolembole JEREMIAH Juma alifunga magoli 14 msimu uliopita na kuisaidia Tanzania Prisons kumaliza katika nafasi ya nne katika ligi kuu Tanzania bara. Atupele Green...

Lyon hatimaye yapata ushindi wa kwanza VPL

Jumatatu September 12 ligi kuu Tanzania bara imeendelea kwa mchezo mmoja kati ya African Lyon dhidi ya Mbao FC mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa...

Liverpool vs Man Utd na Kumbukumbu ya Mechi 5  bora za Waingereza vs Waingereza...

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano vilabu viwili vya English Premier League vinakutana kwenye hatua ya mtoano ya michuano ya ulaya....

STORY MPYA MJINI NI KUHUSU GUARDIOLA KUTUA CHELSEA

Klabu ya Chelsea inaamini staili ya maisha ya London itakuwa ni sehemu ya kigezo kikibwa cha kumnasa Pep Guardiola wakati wakijiandaa kutoa kitita kikubwa...

Marco Materrazi bado ana bifu na Zidane

Kutoka na kilichotokea mwaka 2006 kwenye fainali za kombe la dunia kati ya Zidane na Marco Materrazi kimebaki kwenye historia ya kombe la dunia...

WACHEZAJI 12 WENYE MAJINA MAKUBWA WALIOWAHI KUKOSA PENATI MUHIMU

Naseem Kajuna Inasemekana kwamba kupiga Penati ni moja ya vitu rahisi kwenye mpira ambacho mchezaji yeyote yule wa mchezo wa mpira wa miguu anapasa ajue.Mnamo...

BAADA YA KUTUHUMIWA KUMHUJUMU MANJI, WAKILI ALOYCE KOMBA AMECHUKUA UAMUZI HUU…

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF Wakili Aloyce Komba ameamua kujitoa katika kuratibu na kusimamia mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Yanga uliopangwa...

Rooney anavyochangia kuidhoofisha Man United

Katika mchezo wa Manchester Derby wikiendi iliyopita, kuna wakati ndani ya kipindi cha kwanza mshambuliaji na nahodha wa Manchester United alipata mpira akiwa upande...

Kuelekea mchezo wa Azam V Simba: Haya ndio Mambo 7 muhimu kuhusu John Bocco...

Ni mmoja wa washambuliaji bora katika kizazi cha sasa cha soka. Amecheza katika ligi kuu ya Tanzania bara kuanzia msimu wa 2008/09 kwa mafanikio...

Mechi ya Inter vs Udinese yavunja mwiko wa Serie A kwa kutohusisha mchezaji hata...

Inter Milan wamefufua matumaini ya kupata nafasi ya kwenda kucheza soka la ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Udinese juzi...

El Clasico: Takwimu 9 za Real Madrid na Barcelona kuelekea mchezo wa leo –...

Mchezo wa FC Barcelona vs Real Madrid  kwa sasa inaaminika kuwa ndio mchezo mkubwa zaidi katika soka ambapo wachezaji bora duniani huumana dimbani kwa...

Usajili: Mourinho atuma ofa ya rekodi kumsajili Pogba 

Baada ya kumalizika kwa ligi mbalimbali barani ulaya - kifuatacho sasa ni story za usajili katika vilabu mbalimbali - kubw ya leo ni kwamba...

ALLY MAYAY ATOBOA KILICHOKWAMISHA AGENDA YA MAREKEBISHO YA KATIBA TFF

Kikao cha kwanza cha mkutano mkuu wa TFF kimemalizika jana huku story kubwa katika mkutano huo ikiwa ni agenda namba 11 inayohusu mabadiliko ya...

KABLA YA KUANZA KWA VPL 2016/17, MANARA ATOA ONYO BODI YA LIGI

Zikiwa zimesalia takribani siku 14 ili kuanza kwa msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania msimu wa 2016/2017, afisa habari wa klabu ya Simba...

DR CONGO YALAMBA MKWANJA WA MAANA BAADA YA KUTWAA NDOO YA CHAN

Kilichokuwa kikitarajiwa na wengi ndicho kilichotokea February 7, 2016 baada ya kufaninkiwa kutwaa kombe la Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2016 ikiwa ni...

Farid Musa ametaja ushauri aliopewa na kocha aliyetimuliwa Azam FC

Wakati Farid Musa anaondoka jana December 28 kwenda Hispania kujiunga na timu ya Tenerife ni siku hiyohiyo ambapo benchi la ufundi la Azam FC...

KOSA KUBWA LITAKALO WAGHARIMU YANGA SC MBELE YA APR

Na Baraka Mbolembole Wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya klabu bingwa Afrika, timu ya Yanga SC siku ya kesho Jumamosi watakuwa wakiwania kufuzu kwa...

Ushindi wa Simba vs Majimaji, Manara atangaza kaulimbiu ya Simba kuelekea October 1

Waswahili husema kipato huleta majivuno, ushindi wa 4-0 ilioupata Simba dhidi ya Majimaji FC, umemfanya msemaji wa klabu hiyo Haji Manara atangaze kauli mbiu...

RONALDO AKIMBIA UWANJA MADRID IKIICHAPA VILLAREAL 3-0

Real Madrid imeshinda mchezo wake wa Jumatano usiku dhidi ya Villareal kwenye uwanja wake wa Bernabeu na kuweka hai matumaini yao kwenye mbio za...

Mayweather vs McGregor: Namna pambano hili linavyotabiriwa kuingiza trillion 2.5

Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi...
471,186FansLike
1,420,231FollowersFollow
65,964FollowersFollow

Instagram