Trending

Home Trending
Trending Now

Real Madrid vs AS Roma: Madrid kuvunja mwiko dhidi ya Waitaliano na Kufuzu Robo...

Real Madrid CF inakutana na AS Roma leo katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora wakiwa wameshaingiza mguu mmoja ndani kwenye robo...

Mchezaji wa Mbao FC U20 amezikwa jijini Mwanza

Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa ligi ya vijana wa umri wa chini ya miaka 20 (U20) wa timu ya Mbao FC marehemu Ismail Mrisho...

Kombe la Dunia 1 AU Tuzo 5 za Ballon D’or – Messi kachagua hivi

Tuzo za Ballon D'Or zinafanyika leo usiku huko Uswiss barani ulaya, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar Dos Santos ndio wanasoka wanaowania tuzo hiyo...

Jicho la 3: NINI, HASSAN KESSY, ZIMBWE JR ATACHEZA YANGA SC MSIMU UJAO, VINGINEVYO...

Na Baraka Mbolembole MBONA mnamsumbua huyu kijana Hassan Kessy wakati ni mchezaji halali wa Yanga SC? KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la...

PICHA 30: MATUKIO UWANJANI – YANGA V TP MAZEMBE

Camera ya shaffihdauda.co.tz imezinasa picha kadhaa wakati wa mchezo wa Yanga vs TP Mazembe, kuna mambo mengi yaliendela lakini hapa nakupeleka kwenye matukio yaliyojiri...

MAFANIKIO YA LA MASIA BAADA YA FC BARCELONA KUNUNULIWA 1954, MO ATAFUATA…?

Na Baraka Mbolembole Baada ya uongozi wa Simba SC kufungua mazungumzo rasmi na tajiri Mohammed Dewji kuelekea mpango wa mabadiliko-kutoka mfumo wa kadi hadi Simba...

TP – MAZEMBE INAVYOFAIDIKA NA UWEKEZAJI WA MOISE KATUMBI

Kitu kingine kikubwa ambacho Samatta amekieleza katika safari yake ni pamoja na namna ambavyo klabu ya TP Mazembe inavyonufaika na uwekezaji mkubwa wa bilionea...

PAMOJA NA FIGISU ZOTE YANGA YAPENYA, VIDEO HII HAPA

https://youtu.be/DfAqWO2AvKo

NDANDA VS YANGA – KULINDA REKODI VS KUVUNJA REKODI

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena Jumatano ya September 7 kwa mechi tatu kuchezwa kwenye viwanja tofauti, game ya Ndanda FC vs Yanga ni...

KAULI YA KWANZA YA MKWASA BAADA YA KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA AKITOKEA CHAD (Audio)

Timu ya taifa ya Tanzania imewasili March 25 (leo Ijumaa) alfajiri ikitokea nchini Chad, baada ya timu hiyo kuwasili shaffihdauda.co.tz ilijitahidi kutafuta nafasi ya...

STORY KUBWA