Trending

Home Trending
Trending Now

INASIKITISHA: Soka la Tanzania limepoteza mchezaji mwingine, ni golikipa wa VPL

Wakati soka la Tanzania likiwa bado halijasahau kifo cha mchezaji wa Mbao FC (U20) Ismail Mrisho, leo January 30, 2017 imetoka taarifa nyingine ya...

Sababu ya kocha kumuacha Kichuya kwenye ‘mkeka’ imetajwa

January 28, 2017 inawezekana watu wengi walishangaa kumuona winger wa Simba Shiza Kichuya akianzia benchi wakati timu yake ikipambana na Azam FC kwenye mchezo...

Matumaini ya Simba kuhusu ubingwa wa VPL 2016/17

Baada ya Simba kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam kwa kufungwa goli 1-0, sasa mjadala umekuwa ni juu ya nafasi ya timu...

PICHA 20: WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOSHEREKEA TAJI LAO LA VPL 2015-16

May 14, 2016 ni siku ambayo Yanga imekabidhiwa kombe la ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015-16 baada ya kufanya vizuri kwenye...

EXCLUSIVE: SIMBA IMETANGAZA KIKOSI CHA MSIMU WA 2016-17, MAVUGO, AME ALI NDANI

Simba imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao (2016-17) ambao kwa asilimia kubwa imeufanya kimyakimya hususan ule wa wachezaji wa nje ya...

UEFA wametoa ratiba ya Champions League hatua ya 16 bora, Arsenal imetupwa na Bayern

Baada ya hatua ya makundi kukamilika, leo Jumatatu December 12, UEFA wametoa ratiba kwa ajili ya mechi za hatua ya 16 bora ya michuano...

RATIBA YA VPL 2016/17 HADHARANI, ANGALIA TIMU YAKO INAANZA NA NANI?

Baada ya tuzo kutolewa kwa wachezaji, vilabu pamoja na makocha waliofanya vizuri kwenye msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kutoka, tayari bodi...

TOP 10 YA WAFUNGAJI BORA LIGI ZA ULAYA

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amethibitisha kuwa yeye ni mshambuliaji wa kiwango cha ulimwengu baada ya kuweka kambani mabao 40 kwenye ligi ya La...

TETESI 5 KUBWA ZA USAJILI ULAYA

Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri kwenye ligi na kumaliza ikiwa imetimiza...

PICHA 13: FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN

Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye majaribio nchini Hispania akiwa na Club Deportivo Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza 'Segunda Division'. Yusuf...

STORY KUBWA