Trending

Home Trending
Trending Now

Pique Aomba Ongezeko La Wauguzi. Usiku Wa Jana Utaleta Watoto Wengi.

GERARD PIQUE ameziomba mamlaka za afya na hospitali za Barcelona kuajiri wauguzi wapya na madkatari wa ziada kwa sababu miezi 9 kuanzia jana kutakuwa...

Rekodi 3 zilizovunjwa na Barcelona baada ya kuishangaza Dunia ya soka

Kilichotokea pale Nou Camp usiku wa Jumatano March 8, 2017 ilikuwa ni historia kwenye mchezo wa marudiano katika michuano ya Champions League ambayo imevunja...

‘Mashabiki wamenirudisha kwenye kiwango’ – Mavugo

Zainabu Rajabu MSHAMBULIAJI wa Simba Laudit Mavugo amesema kuzomewa kwake kipindi wakati hafanyi vizuri uwanjani ndiyo kumemfanya awe vizuri  kwa sasa. Mavugo alikuwa anazomewa sana na...

Kichuya kawaliza tena Yanga

Simba imepata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi tangu March 8, 2015 ilipopata ushindi wa goli 1-0. Mechi nyingine tatu zilizofata baada ya hapo,...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuelekea Simba vs Yanga

Zikiwa zimesalia siku 4 kufikia pambano la watani wa jadi Simba vs Yanga, tayari joto la mechi hiyo limeshapanda huku gumzo la mjini likiwa...

Monaco ina rekodi bora vs Timu za EPL, City wanaisaka robo fainali ya pili...

Manchester City wana kila sababu ya kuwa na wasiwasi na wapinzani wao wa raundi ya 16 bora ya Champions League - Monaco, timu ambayo...

Hatimaye Manji ameachiwa kwa dhamana baada ya kukaa sero kwa siku 7

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji, leo February 16 amefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kutumia dawa za kulevya...

Yanga yatoa kipigo kizito kwa Wacomoro

Mabingwa wa Tanzania na wawakilishi wa nchi katika michuano ya klabu bingwa ya Afrika, Yanga, leo wameianza vyema kampeni yao ya kuuwania uchampion wa...

Utawala wa Barca katika Copa del Rey: Enrique na Messi wanaiwinda rekodi iliyodumu miaka...

FC Barcelona wanatengeneza rekodi katika kila msimu wa Copa Del Rey. Baada ya kuwaondoa Atletico Madrid katika nusu fainali jana usiku, timu hii sasa...

Manji ametajwa kwenye sakata la madawa ya kulevya

Jina la Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji ni miongoni mwa majina 67 yaliyotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda yakiwa...

STORY KUBWA