Sports Extra

Home Sports Extra Page 2
Habari kutoka kipindi cha Sports Extra

Waziri Mkuu anataka taji la AFCON U17 libaki nyumbani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliangiza hirikisho la soka nchini TFF lihakikishe Tanzania inaibuka na ushindi katika fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini...

Rabbi Sanga aitwa Serengeti Boys

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Ammy Ninje amesema amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na nyota wa Ndondo Cup Academy Rabbin Sanga...

Rabbin Sanga atembelea makumbusho ya kitajiri Uturuki

Rabbin Sanga ametembelea makumbusho ya Instanbul yanayojulikana RAHMI. M. KOC yanayomilikiwa na familia ya kitajiri. Inatajwa familia hii inachangia pato la taifa karibu 10% lakini...

Zahera aishauri TFF

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi ametoa maoni kwa TFF kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa. Zahera amesema ratiba lazima iwe...

Kwa nini ushindani umeshuka kwenye ligi yetu?

Baada ya timu zetu za Tanzania (Simba, Yanga, Singida United na Mbao FC) kushindwa kufika fainali ya SportPesa Cup wadau wengi wanasema huenda ligi...

Shaffih Dauda ampigia debe Coulibaly Simba

Baada ya ujio wa wachezaji watatu kufanya majaribo kwenye klabu ya Simba, kumekuwa na tetesi huenda beki Zana Coulibaly akaoneshwa mlango wa kutokea endapo...

‘Uchebe’ kupima mashine 3 SportPesa

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema wachezaji watatu wanaofanya majaribio kwenye kikosi chake wataanza kutumika leo kwenye mashindano ya SportPesa ili kutoa nafasi kwa...

Dauda vs Geoff Lea & Maeda kuhusu Barca kumsajili Boateng

Baada ya Barcelona kumsajili Kevin Prince Boateng raia wa Ghana, mijadala imekuwa mingi sana kila mmoja akiwa na mtazamo wake binafsi. Swali kubwa linaloulizwa ni...

Barcelona inakwama wapi?

Ukitazama jezi ya Barcelona kwenye sehemu ya 'beji' ya klabu kuna maneno ya kihispania ambayo tafsiri yake ina maana ya maneno haya 'ZAIDI YA...

Shabiki wa Chelsea asusa kuangalia mechi hadi Sarri atakapofukuzwa

Mwandishi wa habari za michezo Tanzania, Abdul Mkeyenge ambaye pia ni shabiki wa Chelsea ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa The Blues kwenye ligi...

Historia, mafanikio na kikosi cha AS Vital wapinzani wa Simba leo

AS Vita ni timu iliyopo kwenye viunga vya jiji la Kinshasa nchini DR Congo na imeanzishwa mwaka 1935 ikiwa inaitwa Renaissance lakini baadaye mwaka...

Ubora wa KMC unaanzia kwa kocha!

Ubora na ushindani wa KMC unaanzia kwa kocha wa timu hiyo Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi ambaye anaiongoza timu yake vizuri licha ya kuwa...

Mbeya City yafafanua mchezaji wake kufanya majaribio Misri

Uongozi wa Mbeya City umetoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Eliud Ambokile ambaye kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti anakwenda Misri...

Kocha wa Yanga AIFUNDA Simba kimataifa

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi ametoa ushauri kwa Simba ambayo ipo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kucheza dhidi ya AS Vita katika ligi...

Balozi aipokea Simba DR Congo

Msafara wa wachezaji 19 wa klabu ya Simba umewasili Kinshasa Congo DR kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi...

Kwa heri Petr Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani

Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa...

Monaco vs Nice ni vita ya watoto wa Wenger Ufaransa

Kwa wale waliowahi kuiona Arsenal katika ubora wake miaka ya 1996 mpaka 2004 kwenye kikele cha kikosi kikichopachikwa jina la 'The invisible' baada ya...

Simba inaendekea kurundika vipolo ligi kuu

Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amethibitisha kusogezwa mbele mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba...

Katibu Coastal Union ang’atuka

Katibu Mkuu wa Coastal Union Abdulatif Omary Samau ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya ukatibu baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miezi mitatu. "Ni kweli nimejiuzulu...

Mkuu wa wilaya aipeleka Simba robo fainali CAF

Mkuu wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ambaye pia ni mmoja wa wajumbe wa baraza la wadhamini la klabu ya Simba Adam Mgoyi amesema...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow