NBA

Home NBA Page 4

NBA ALL STAR 2018 YAPANGWA, LIJUE JIJI LITAKALOANDAA.

Hatimaye shirikisho la mpira wa kikapu chini Marekani limetangaza mji utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya nyota wa mpira wa kikapu Marekani maarufu kama NBA...

JE, UNAWEZA KUNAMBIA MARAIS WANGAPI WA NCHI WANAWEZA KUCHAMBUA MICHEZO KAMA OBAMA, NJOO UMTIZAME

Katika kuonyesha namna gani kuwa si tu kwamba anapenda michezo hasa mpira wa kikapu lakini pia ni mnazi wa klabu ya Chicago Bulls, Rais...

Anthony Davis Afanya Makubwa, lakini timu yake yachapwa.

Kocha wa Denver Nuggets, Mike Malone aliamuakuwa timu yake haikuwa na haja tena ya kupambana na mchezaji aliyekuwa kwenye kiwango cha juu Alfajiri ya...

DRAYMOND GREEN AYAZUA, NIDHAMU YAKE YAZUA MASWALI.

Draymond Green ameibuka katika siku za karibuni kama mmoja wa wachezaji walioleta mapinduzi kwenye mchezo wa mpira wa kikapu kwa nafasi anayocheza huku akionyesha...

REKODI MBALIMBALI ZILIZOWEKWA MPAKA SASA KATIKA NBA MSIMU 2015/16.. PART TWO

Novemba 23, 2015, LeBron James aliingia katika orodha ya wachezaji 25 wa muda wote waliotoa pasi/assists nyingi. Hi ilimfanya kujiunga na Oscar Robertson kama...

GOLDEN STATE WARRIORS YAREJEA BARABARANI, YASHINDA KWA TABU

Warriors mpaka sasa haijapoteza michezo miwili mfululizo hata mara moja. Na inatakiwa washinde michezo mitatu iliyosalia ya ugeniniili kuvunja rekodi ya kupoteza michezo michache...

Golden State Warriors gari yaanza kushika kasi.

Steve Kerr, kocha wa Golden State Warriors yupo makini sana kwa sasa. Hajali rekodi bali hali ya timu yake kwa sasa. Alfajiri ya leo,...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA NOVEMBA 11

FINAL NYK 93 CHA 95 1 2 3 4 T 27 20 32 14 93 18 31 20 26 95 FINAL LAL 99 ORL 101 1 2 3 4 T 25 20 25 29 99 26 22 26 27 101 FINAL TOR 119 PHI 103 1 2 3 4 T 29 34 33 23 119 34 23 20 26 103 FINAL IND 102 BOS 91 1 2 3 4 T 31 20 30 21 102 23 26 25 17 91 FINAL NOP 98 ATL 106 1 2 3 4 T 26 30 19 23 98 24 23 29 30 106 FINAL LAC 108 DAL 118 1 2 3 4 T 35 19 24 30 108 27 26 31 34 118 FINAL BKN 106 HOU 98 1 2 3 4 T 22 33 24 27 106 28 21 34 15 98 FINAL GSW 100 MEM 84 1 2 3 4 T 26 21 27 26 100 15 26 22 21 84 FINAL MIL 102 DEN 103 1 2 3 4 T 32 32 16 22 102 25 28 34 16 103 FINAL DET 92 SAC 101 1 2 3 4 T 23 26 21 22 92 36 25 25 15 101 FINAL SAS 113 POR 101 1 2 3 4 T 28 30 23 32 113 24 22 29 26 101

CURRY AENDELEA NA MWAKA BORA WA AJABU, ATWAA TUZO NYINGINE KUBWA.

Stephen Curry kawa Stephen Curry. Anaimbwa kuliko mchezaji mwingine yeyote. Anaonekana kupanda kiwango kuliko mchezaji mwingine yeyote. Analeta mchezo mpya ambaye hakuna aliyewahi kufikiri...

Los Angeles Clippers wa Moto Kweli.

Blake Griffin alikuwa na pointi 22 na rebound 13 rebounds, Chris Paul akaongeza pointi 19 na wote wakaisaidia Los Angeles Clippers kuichapa Portland Trail...

KOBE BRYANT “BLACK MAMBA” AREJEA

Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mashabiki wa klabu ya Los Angeles Lakers na mchezaji Kobe Bryant au The Black Mamba, sasa wanaweza kuwa na...

Kevin Durant amwadhibu Ex wake, Westbrook apotea.

Kilichosubiriwa kimetimia na inawezekana kikawa. Kilichotegemewa pengine sicho kilichotimia, na kilifikiriwa inawezekana sicho kilichotokea. Wengi walisubiri kuona mchezo kati ya Oklahoma City Thunders dhidi...

HATUKUACHI HIVI HIVI, TIZAMA HIGHLIGHTS ZA MICHEZO MINGINE ILIYOSALIA YA NBA NOV 9 HAPA

HIGHLIGHTS ZA ORLANDO MAGIC VS INDIANA PACERS https://www.youtube.com/watch?v=EZmllXFIDAo HIGHLIGHTS ZA CHICAGO BULLS VS PHILADELPHIA 76ERS https://www.youtube.com/watch?v=bNSFbqwzOn4 HIGHLIGHTS ZA MINNESOTA TIMBERWOLVES VS ATLANTA HAWKS https://www.youtube.com/watch?v=MyPh5Os7HyI HIGHLIGHTS ZA PORTLAND TRAIL BLAZERS VS...

Houston Rockets Wanaimarika, James Harden Hashikiki.

Inawezekana kwenye orodha yako hukumuweka James Harden katika nafasi za juu sana kati ya wale wanaoweza kuwania tuzo ya mchezaji bora na mwenye thamani...

KOBE AREJEA NYUMBANI KULIKOMLEA KUAGA LAKINI ACHAPWA, AHUENI YA KWANZA KWA PHILDELPHIA 76ERS

Wakati Warriors wakishikilia rekodi ya kutokufungwa mpaka sasa, wenzao Philadelphia 76ers walikuwa wakishikilia rekodi ya kutokushinda mpaka walipokutana na ndugu zao L.A Lakers ambao...

MCHEZAJI MWENYE MKONO MMOJA AFUNGA KIKAPU CHAKE CHA KWANZA KWENYE MASHINDANO YA VYUO YA...

Mungu ndiye mwamuzi ya yote, Mungu ndiye mpangaji na yeye ndiye mpaji. Kijana anayesoma katika chuo cha Florida Zach Hodskins lazima anauishi usemi huu....

LIGI YA NBA KUANZA HIVI…JE, GOLDEN STATE WATATETEA UBINGWA

Na Nicasius N Agwanda  ( Nicasius Coutinho Suso) Ligi kuu ya kikapu nchini Marekani NBA, inaingia katika msimu wake wa 13 ambao utaanza kuanzia tarehe...

PORTLAND TRAIL BLAZZERS YAPATA DAWA YA PAUL GEORGE NA INDIANA PACERS. YAWAPA KICHAPO NA...

Wakati wengi wakiitizama Portland iliyoondokewa na mastaa Wesley Mathews na LaMarcus Aldridge hakuna alotoa nafasi kubwa kwa Portland kuwa walau walivyo hivi sasa, lakini...

MATOKEO YA JUMLA NBA NOV 15, TIZAMA NA HIGHLIGHTS ZA MICHEZO YOTE

FINAL NOP 87 NYK 95 1 2 3 4 T 27 17 21 22 87 23 19 26 27 95 FINAL MEM 114 MIN 106 1 2 3 4 T 22 33 26 33 114 23 26 30 27 106 FINAL POR 94 CHA 106 1 2 3 4 T 27 18 21 28 94 35 36 18 17 106 FINAL UTA 97 ATL 96 1 2 3 4 T 27 20 27 23 97 24 28 22 22 96 FINAL BOS 100 OKC 85 1 2 3 4 T 24 21 27 28 100 24 28 22 11 85 FINAL TOR 101 SAC 107 1 2 3 4 T 23 28 31 19 101 22 31 26 28 107 FINAL DET 85 LAL 97 1 2 3 4 T 18 26 22 19 85 21 27 18 31 97 HIGHLIGHTS LAKERS VS DETROIT PISTONS https://www.youtube.com/watch?v=EZvUOV-JCPY HIGHLIGHTS TORONTO RAPTORS VS SACRAMENTO KINGS https://www.youtube.com/watch?v=2ZDHSrNHdv0 HIGHLIGHTS BOSTON CELTICS VS OKLAHOMA CITY THUNDER https://www.youtube.com/watch?v=MKfow4dqe2Y HIGHLIGHTS NEW ORLEANS PELICANS VS KNICKS https://www.youtube.com/watch?v=pl1wM5VcHbo HIGHLIGHTS MEMPHIS VS MINNESOTA https://www.youtube.com/watch?v=2LnsCDY3l24 HIGHLIGHTS...

Cleveland On Fireee

LeBron James hakumuhitaji Kevin Love au Kyrie Irving ili kumaliza mchezo dhidi ya Charlotte Hornets na hii hutokea kwa vilabu vichache ambavyo wachezaji wake...
471,192FansLike
1,420,891FollowersFollow
65,997FollowersFollow

Instagram