NBA

Home NBA Page 4

Neymar anajua soka, anaijua pesa, anajua biashara. Mtu tatu ndani ya track moja

Inawezekana kabisa mchezaji Cristiano Ronaldo akawa ndiye mchezaji wa soka anayeongoza kwa kutengeneza pesa nyingi katika mikataba ya kibiashara na umaarufu katika mitandao ya...

HATIMAYE MKE WA MAGIC JOHNSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAISHA YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI YA...

Wengi wanamkumbuka moja ya wachezaji bora kuwahi kugusa mpira wa kikapu, Earvin "Magic" Johnson Jr ambaye alileta ladha tofauti katika mchezo huu na kuufanya...

JIJI LA LOS ANGELES LAAMUA TAREHE 23 AGOSTI KUWA KOBE BRYANT DAY.

Kitendo cha kuamua kustaafu kucheza mchezo wa mpira wa kikapu kwa Kobe Bryant imekuwa kama hatua nzuri kwake kwani neema kadhaa zimeanza kufunguka kwake...

DRAYMOND GREEN AYAZUA, NIDHAMU YAKE YAZUA MASWALI.

Draymond Green ameibuka katika siku za karibuni kama mmoja wa wachezaji walioleta mapinduzi kwenye mchezo wa mpira wa kikapu kwa nafasi anayocheza huku akionyesha...

CLEVELAND CAVALIERS YAUWAWA KINYAMA MBELE YA GOLDEN STATE WARRIORS. YAPOTEZAA MCHEZO WA PILI WA...

Kuelekea mchezo wa pili wa hatua ya fainali, Lebron James hakuwahi kupoteza michezo miwili mfululizo ya fainali katika NBA. Historia ilimbeba kuwa katika michezo...

FAINALI ZA NBA, GOLDEN STATE WARRIORS YAICHAPA CAVALIERS MCHEZO WA KWANZA.

Hii ni fainali ya sita mfululizo mchezaji wa klabu ya Cleveland Cvaliers, Lebron James au maarufu kama King James anacheza. Ameweka rekodi ya kuingia...

CURRY NI CURRY, WARRIORS NI WARRIORS. OKC YAPIGWA FAINALI KIMAAJABU.

Klabu ya Golden State Warriors ilimaliza msimu ikiwa na rekodi ya kushinda michezo 73na kupoteza 9 hivyo kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu ya...

LEBRON AWEKA REKODI, CAVALIERS WATINGA FAINALI YA NBA.

Cleveland Cavaliers wamefanikiwa kutwaa ubingwa wao wa pili mfululizo kwa kanda ya Mashariki na sasa wanasubiri mshindi kati ya Golden State Warriors dhidi ya...

HATIMAYE YAMETIMIA…GOLDEN STATE WARRIORS YA STEPHEN CURRY YAIONDOA BULLS YA MICHAEL JORDAN KWENYE KITI...

Nani asiyemkumbuka Michael Jordan? Wapo wanaomfahamu pasipo kumwona na hawajui anafananaje lakini jina lake wanalifahamu. Nani asiyemkumbuka Scottie Pippen na ni nani asiyekuwa na...

AHSANTE SANA KOBE BRYANT “BLACK MAMBA” UTAKUMBUKWA DAIMA. KOBE ASTAAFU RASMI

Hatimaye waliwahi kusema na kuandika kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na kila kazi ngumu hufuatiwa na pumziko. Mchezaji wa klabu ya mpira wa...

GOLDEN STATE WARRIORS WAIFIKIA REKODI KUBWA YA CHICAGO BULLS, NA WAVUNJA REKODI NYINGINE 5...

Huu unaweza kuwa msimu bora kabisa kwa Golden State Warriors ambao unaweza usitokee kwa kipindi kirefu sana, kwani umekuwa wa kuvunja rekodi mbalimbali tangu...

NBA ALL STAR 2018 YAPANGWA, LIJUE JIJI LITAKALOANDAA.

Hatimaye shirikisho la mpira wa kikapu chini Marekani limetangaza mji utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya nyota wa mpira wa kikapu Marekani maarufu kama NBA...

BAADA YA KUIRARUA WARRIORS, SAN ANTONIO SPURS YAZIMISHWA KIROHO SAFI.

Kama kuna siku ambazo San Antonio Spurs hawakuamini kilichotokea basi ni alfajiri ya leo katika mchezo dhidi ya Charlotte Hornets. Spurs ambayo ni timu...

GOLDEN STATE WARRIORS YAREJEA BARABARANI, YASHINDA KWA TABU

Warriors mpaka sasa haijapoteza michezo miwili mfululizo hata mara moja. Na inatakiwa washinde michezo mitatu iliyosalia ya ugeniniili kuvunja rekodi ya kupoteza michezo michache...

CLIPPERS YAENDELEA KUTOKUELEWEKA.. YACHAPWA NA NEW ORLEANS PELICANS

Huku klabu ya New Orleans Pelicans ikiwa inauguza wachezaji wake wanne wa kikosi cha kwanza kwenye vyumba vya upasuaji, mchezaji ambaye naye alikuwa mtu...

ANTHONY DAVIS KAUMIA, KUKOSA MICHEZO YA MUHIMU KADHAA NA TIMU YA TAIFA

Anthony Davis atakosa michezo iliyobakia ya msimu huu kutokana na majeraha, kocha Alvin Gentry  wa New Orleans Pelicans alisema Jumapili. Davis alichanika nyama na misuli...

Ushahidi: Cristiano Ronaldo ndio Mwanamichezo Anayependwa kuliko wote duniani.

Inaaminika David Beckham ndio alikuwa mchezaji maarufu kuliko yoyote katika kipindi cha kuanzia 1999-2010, lakini taji hilo kwa sasa lipo chini ya mwanasoka Cristiano...

KLAY THOMPSON NA WARRIORS HAWASHIKIKI….. CURRY KHALI SI SHWARI.

Golden State Warriors waendelea kuonyesha moto wao katika msimu huu wa NBA. Ni timu ambayo ukiitizama unagundua dhahiri kuwa ina kila nia ya kuweka...

CURRY AKABWA NA MDOGO WAKE WA DAMU… WARRIORS HAISHIKIKI, STEPHEN CURRY NI MOTO

Stephen Curry hakuanza vyema mchezo wa alfajiri ya Jumanne. Alikosa mitupo yake kadhaa, baadhi ikiwa dhidi ya mdogo wake wa damu, Seth Curry ambaye...

LEBRON AWEKA REKODI, IRVING AIONGOZA CAVALIERS KUICHAPA PHOENIX SUNS..

Inawezekana kabisa mchezaji Lebron James taratibu akawa anaachia kijiti kwa wachezaji wengine kama Kevin Durant, Stephen Curry , James Harden na kina Anthony Davis....
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow