Friday, September 21, 2018

NBA

Home NBA

LEBRON JAMES ATIA REKODI, CLEVELAND CAVALIERS YATIWA KIBINDONI NA TORONTO RAPTORS

Kyle Lowry alifunga pointi 27 na Demar DeRozan aliongeza 20 kwa upande wa Toronto  Raptors na kuiongoza  kuwapiga Cleveland Cavaliers 103-99 alfajiri ya Alhamis...

MIAMI HEAT YAFANYA BIASHARA. MCHEZAJI ALIYESHINDA NAO UBINGWA MARA 2, MARIO CHALMERS WAMUUZA RASMI

Miami Heat Ilitangaza Jumanne kwamba imefanya biashara ya mkongwe point guard wao  Mario Chalmers kwa  kumpeleka kunako klabu ya Memphis Grizzlies . Katika hiyo...

MATOKEO YA MICHEZO YOTE YA NBA

FINAL WAS 88 ORL 87 1 2 3 4 T 31 22 12 23 88 29 22 16 20 87 FINAL PHI 95 BOS 112 1 2 3 4 T 26 14 27 28 95 21 30 28 33 112 FINAL CHI 115 BKN 100 1 2 3 4 T 30 28 28 29 115 19 36 16 29 100 FINAL UTA 87 DET 92 1 2 3 4 T 15 29 20 23 87 16 25 28 23 92 FINAL CHA 94 MIA 104 1 2 3 4 T 27 17 16 34 94 23 31 19 31 104 FINAL IND 99 TOR 106 1 2 3 4 T 30 15 23 31 99 20 17 35 34 106 FINAL DEN 105 HOU 85 1 2 3 4 T 27 26 23 29 105 21 28 14 22 85 FINAL CLE 106 MEM 76 1 2 3 4 T 26 27 26 27 106 10 22 23 21 76 FINAL NYK 122 MIL 97 1 2 3 4 T 27 36 27 32 122 23 28 22 24 97 FINAL SAS 106 OKC 112 1 2 3 4 T 27 28 28 23 106 29 21 29 33 112 FINAL DAL 111 PHX 95 1 2 3 4 T 24 30 34 23 111 22 23 21 29 95 FINAL NOP 94 POR 112 1 2 3 4 T 18 25 24 27 94 43 27 17 25 112 FINAL LAC 111 SAC 104 1 2 3 4 T 25 31 29 26 111 17 29 28 30 104 FINAL MIN 112 LAL 111 1 2 3 4 T 22 29 37 24 112 31 29 35 16 111

UNATAKA KUWAZUIA WARRIORS? BASI KAA TAYARI WANAKUJA KUKUTEMBELEA. WAWEKA REKODI YA USHINDI DHIDI YA...

Stephen Curry alifunga pointi 46, huku 21 zikiwa katika robo ya kwanza, na kuisadia Golden State Warriors kuboresha rekodi yake ya ushindi kuwa 10-0...

HALI YA LAMAR ODOM YAIMARIKA, KHLOE KARDASHIAN NA JAMES HARDEN KATIKA SINTOFAHAMU

Miujiza kutokea , na pengine  Lamar Odom anapokea miujiza hiyo. Khali ya Lamar Odom imekuwa na unafuu ghafla hasa baada ya madaktari kuthibitisha kuwa...

Warriors waharibu Usiku wa Drake…

Klabu ya Golden State Warriors haikujali kama Toronto Raptors waliuandaa usiku wa kuamkia leo kuwa usiku wa Drake. Walimaliza kazi waliyotakiwa kuifanya. Ikumbukwe kuwa rapa...

NBA Inakuja Afrika Kwa Mara Nyingine Tena, Vikosi Vyatajwa Na Bei Za Ticket Ni...

Chama cha mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA) na chama cha wachezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani (NBPA) vimetangaza orodha ya wachezaji watakaoshiriki...

OKC CHUPUCHUPU, YAICHAPA ORLANDO MAGIC

Russell Westbrook na Kevin Durant wamefikisha mengi makubwa na yanayovutia ambayo mara nyingi yamekuwa  mambo ya muhimu kwa klabu yao ya Oklahoma City Thunder...

LEBRON NA REKODI ZAKE, CLEVELAND YAITAFUNA PHILADELPHIA 76ERS

James alifunga pointi zake nyingi zaidi msimu huu 31, huku  18 zikiwa  katika robo ya tatu, na Cavaliers ikapata ushindi wa tano mfululizo, 108-102...

KNICKS WAANGUKIA PUA KWA MWEWE WA ATLANTA

Walau sasa Atlanta Hawks unaweza kuwaita mwewe hawa walipata ushindi wao wa kwanza baada ya kupoteza mchezo wa awali na hatimaye tulishuhudia ile njaa...

STORY KUBWA