NBA

Home NBA Page 3

HATIMAYE MKE WA MAGIC JOHNSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAISHA YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI YA...

Wengi wanamkumbuka moja ya wachezaji bora kuwahi kugusa mpira wa kikapu, Earvin "Magic" Johnson Jr ambaye alileta ladha tofauti katika mchezo huu na kuufanya...

AHSANTE SANA KOBE BRYANT “BLACK MAMBA” UTAKUMBUKWA DAIMA. KOBE ASTAAFU RASMI

Hatimaye waliwahi kusema na kuandika kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na kila kazi ngumu hufuatiwa na pumziko. Mchezaji wa klabu ya mpira wa...

CURRY NI CURRY, WARRIORS NI WARRIORS. OKC YAPIGWA FAINALI KIMAAJABU.

Klabu ya Golden State Warriors ilimaliza msimu ikiwa na rekodi ya kushinda michezo 73na kupoteza 9 hivyo kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu ya...

Dwayne Wade arejea nyumbani na kumwadhibu baba yake.

Dwyane Wade ameitumikia klabu ya  Miami Heat kwa miaka 13, kaifanyia mengi, kaitumikia kwa moyo wote mpaka akafikia hatua ya kuitwa "Mr. Miami"....

OKLAHOMA CITY THUNDER WAENDELEA KUPOROMOKA, CHICAGO BULLS YAWAKALISHA

Rose alikuwa katika kiwango kizuri na bora sana akifunga pointi 29, na Jimmy Butler aliongeza 26 na kuiongoza Chicago Bulls kuibuka na ushindi wa...

CLEVELAND CAVALIERS YAUWAWA KINYAMA MBELE YA GOLDEN STATE WARRIORS. YAPOTEZAA MCHEZO WA PILI WA...

Kuelekea mchezo wa pili wa hatua ya fainali, Lebron James hakuwahi kupoteza michezo miwili mfululizo ya fainali katika NBA. Historia ilimbeba kuwa katika michezo...

NANI KUTWAA MVP KATIKA NBA? HUU NI UTABIRI WANGU NA WA WACHAMBUZI MBALIMBALI ULIMWENGUNI

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuanza rasmi alfajiri ya kuamkia kesho, kumekuwa na tabiri tofauti kuhusiana na nani anaweza...

STEPHEN CURRY ANATISHA, GOLDEN STATE WARRIORS YAENDELEA NA REKODI YAIUA TORONTO RAPTORS

Hata kama wakiwa hawakucheza mchezo wao uliozoeleka na kiwango cha chini, Golden State Warriors imeweza kudumisha muendelezo wao uliokuwa bora. Stephen Curry alifunga pointi 37...

TANZIA KWA WADAU WA LIGI YA NBA

Kocha na Rais/mkurugenzi wa mambo ya ufundi katika klabu ya Minnesota Timberwolves, Flip Sounders amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60, kubwa likisemekana...

Warriors waonyesha wanachomaanisha.

Kuna kila ukweli kuwa klabu ya Golden State Warriors inahofiwa kutokana na wachezaji wake nyota ambao wakiwa katika fomu na viwango vyao haishikiki hasa...

Chicago yaendelea kuwa bora, Wachezaji wapya waendelea kuwa mchango

Ikiwa na wachezaji wapya tisa,huku watatu wakiwa ni wa kikosi cha kwanza, Chicago Bulls walitegemewa kuanza taratibu msimu moya wa NBA, lakini hali imekuwa...

LAKERS YAACHANA NA JABARI BROWN YAMUINGIZA METTA WORLD PEACE

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Sheria ya NBA inavitaka vilabu kuwa na jumla ya wachezaji wasiozidi 15 ambao wataorodheshwa kushiriki michezo ya NBA,...

JIJI LA LOS ANGELES LAAMUA TAREHE 23 AGOSTI KUWA KOBE BRYANT DAY.

Kitendo cha kuamua kustaafu kucheza mchezo wa mpira wa kikapu kwa Kobe Bryant imekuwa kama hatua nzuri kwake kwani neema kadhaa zimeanza kufunguka kwake...

Ray Allen, aondoka zake, tumebaki na Curry na Klay Thompson.

Ray Allen ametwaa ubingwa wa NBA akiwa na vilabu vya Boston na pia Miami, huku akikumbukwa kwa baadhi ya mitupo yake muhimu ya pointi tatu katika...

CLIPPERS NA DEANDRE JORDAN CHALI KWA DALLAS MAVERICKS

Dirk Nowitzki alifunga pointi 31ambazo ni nyingi zaidi kwake msimu huu Jumatano usiku akiongoza Dallas katika ushindi wa118-108 dhidi  ya Los Angeles Clippers. Huu ulikuwa...

Drake na Floyd Mayweather face to face kwenye game ya OKC vs Clippers

Russell Westbrook alitupia points 33 wakati Kevin Durant akitupia kikapu cha ushindi. Kwenye game ngumu ambayo ilisha kwa Thunders kushinda kwa vikapu 100-99, kama...

LEBRON AWEKA REKODI, CAVALIERS WATINGA FAINALI YA NBA.

Cleveland Cavaliers wamefanikiwa kutwaa ubingwa wao wa pili mfululizo kwa kanda ya Mashariki na sasa wanasubiri mshindi kati ya Golden State Warriors dhidi ya...

GOLDEN STATE WARRIORS WAIFIKIA REKODI KUBWA YA CHICAGO BULLS, NA WAVUNJA REKODI NYINGINE 5...

Huu unaweza kuwa msimu bora kabisa kwa Golden State Warriors ambao unaweza usitokee kwa kipindi kirefu sana, kwani umekuwa wa kuvunja rekodi mbalimbali tangu...

KUELEKEA MSIMU MPYA WA NBA…HAYA NI MAMBO YA MSINGI YA KUJUA

Kuelekea msimu mpya wa NBA, wachezaji kadhaa hatutowashuhudia tena katika NBA baada ya kustaafu kucheza mchezo huo ambao ni Shawn Marion ambaye alipata umaarufu...

BAADA YA KIFO CHA FLIP SAUNDERS HIZI NI TWEET ZA RAMBI RAMBI

Kutokana na kuondokewa na moja ya watu mashuhuri wa mchezo wa kikapu ambaye alikuwa ni kocha na Rais wa Minnesota Timberwolves Flip Saunders, wadau...
471,111FansLike
1,415,028FollowersFollow
65,682FollowersFollow

Instagram