NBA

Home NBA Page 3

Lebron James asimamishwa.

Haikutegemewa lakini imetokea. Cleveland Cavs wamefungwa na Atlanta Hawks huku wakiwa na rekodi bora zaidi katika NBA msimu huu. Dennis Schroder alifunga pointi nyingi zaidi...

Houston Rockets Wanaimarika, James Harden Hashikiki.

Inawezekana kwenye orodha yako hukumuweka James Harden katika nafasi za juu sana kati ya wale wanaoweza kuwania tuzo ya mchezaji bora na mwenye thamani...

Warriors yashinda, Stephen Curry aweka rekodi yake.

Stephen Curry ambaye ni MVP mara mbili mfululizo, alikuwa na usiku mzuri alfajiri ya leo. Akiwa ametoka katika moja ya michezo yake mibovu...

Kevin Durant amwadhibu Ex wake, Westbrook apotea.

Kilichosubiriwa kimetimia na inawezekana kikawa. Kilichotegemewa pengine sicho kilichotimia, na kilifikiriwa inawezekana sicho kilichotokea. Wengi walisubiri kuona mchezo kati ya Oklahoma City Thunders dhidi...

Ray Allen, aondoka zake, tumebaki na Curry na Klay Thompson.

Ray Allen ametwaa ubingwa wa NBA akiwa na vilabu vya Boston na pia Miami, huku akikumbukwa kwa baadhi ya mitupo yake muhimu ya pointi tatu katika...

Stephen Curry akiwasha, Warriors kama inarejea hivi.

Swali kubwa kuelekea msimu mpya wa NBA lilikuwa namna ambayo makali ya Golden State Warriors yangeweza kuzuiwa hasa baada ya kumwongeza mchezaji Kevin Durant...

Kawhi Leonard awaka Utah Jazz na Gerge Hill wamzima, Spurs akifa

Geroge Hill aliibuka kusikojulikana na kuisaidia klabu yake mpya ya Utah Jazz kuweza kuhimili uwezo wa klabu inayopewa nafasi kubwa kwa sasa ya San...

Kryie Irving on fire.. Cleveland Cavaliers moto mkali.

Kyrie Irving baada ya kuwa na mwenendo mzuri katika fainali zilizopita za NBA ambapo klabu yake ya Cleveland ilifanya makubwa na kurejea kutoka nyuma...

Chicago Bulls sio watu wa mchezo mchezo. NBA wameishika.

Dwayne Wade, Rajon Rondo na Robin Lopez ni moja ya majina mapya katika jiji la Chicago kunako klabu ya Chicago Bulls inayoshiriki ligi kuu...

Los Angeles Clippers wapo vizuri, wainyoosha Phoenix Suns

Clippers wameendelea kuwa na kiwango bora na ambacho kinawafanya kuendelea kuwa kujiamini vyema. Muunganiko wa Griffin, Chris Paul na  DeAndre Jordan umeendelea kuwa wenye...

Chicago yaendelea kuwa bora, Wachezaji wapya waendelea kuwa mchango

Ikiwa na wachezaji wapya tisa,huku watatu wakiwa ni wa kikosi cha kwanza, Chicago Bulls walitegemewa kuanza taratibu msimu moya wa NBA, lakini hali imekuwa...

Lebron ni Lebron, Cavaliers ni Cavaliers, waichapa Orlando Magic

Moja ya michezo mizuri na iliyovutia msimu huu ambapo LeBron James na klabu yake ya Cleveland Cavaliers walipata changamoto, lakini waliendeleza ubabe wao dhidi...

Baada ya Wade kurejea nyumbani Chicago, apata ushindi wa kwanza dhidi ya Celtics.

Wengi wakisikia jina la mchezaji Dwayne Wade, akili na fikra zinakuwa kule suth beacg, Miami ambako ndiko alikojitengenezea jina mpaka kuitwa mr. Miami na...

Clippers yaionyoosha Portland Trail Blazers, Griffin yupo safi sasa.

Portland Trail Blazers imekuwa moja ya vilabu tishio kwenye NBA tangu msimu uliopita ambapo haikuwa inapewa nafasi sana mpaka pale walipoibuka Damian Lillard na...

Anthony Davis Afanya Makubwa, lakini timu yake yachapwa.

Kocha wa Denver Nuggets, Mike Malone aliamuakuwa timu yake haikuwa na haja tena ya kupambana na mchezaji aliyekuwa kwenye kiwango cha juu Alfajiri ya...

Los Angeles Lakers Yafyatua Breki Za Houston Rockets, James Harden Yupo Vizuri.

Houston Rockets ina kocha mpya kupitia kwa Michael D'Antonio na yupo ili aiondoe klabu hiyo kwenye kipindi kigumu ili ifikie hadhi ya wachezaji wake...

OKC bila Durant yaanza vyema, Westbrook hatari

Wengi walikuwa wanasubiri kuitizama kabu ya Oklahoma City Thunder itacheza vipi msimu ila ya kuwa na mchezaji wake bora wa kipindi kirefu, Kevin Durant...

SHEREHE YA LEBRON JAMES, CLEVELAND CAVS YAANZA VYEMA. WAIFUMUA NEW YORK KNICKS

Lebron James aliwahi kuwaahidi watu wa Ohio, Cleveland kuwa atawaletea ubingwa siku moja. Naam baada ya kwenda upata malisho aliyoyahitaji kule South Beach, Miami,...

KEVIN DURANT NA WARRIORS WARARURIWA DHIDI YA SPURS

Inawezekana wengi walisubiri kwahamu ujio wa mchezaji Kevin Durant katika jezi zake mpya, mji wake moya na klabu yake mpya. Wengi pia walisubiri kuona...

Hasheem Thabeet na ndoto ya kila Mtanzania

Wengi wanamfahamu mchezaji Mtanzania Hasheem Thabeet kama Mtanzania pekee ambaye amewahi kucheza katika ligi kuu ya kikapu nchini Marekani yaani NBA.Hasheem kwa sasa hayupo...
473,643FansLike
169,928FollowersFollow
72,600FollowersFollow