Wednesday, September 19, 2018

NBA

Home NBA

UMEWATIZAMA CHARLOTTE HORNETS? HARUSI SIO YAO LAKINI SUTI ZIMEWAKAA VYEMA KWA SASA, WAICHAPA CHICAGO...

Inawezekana kabisa na ungekuwa sahihi mno kama usingewapa nafasi yoyote msimu huu Charlotte Hornets kutokana na madudu ya msimu uliopita. Lakini mambo yamekuwa tofauti...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA TAREHE 2/11

 Tizama hapa chini matokeo ya jumla ya michezo yote iliyofanyika alfajiri ya leo. FINAL CLE 107 PHI 100 1 2 3 4 T 18 31 33 25 107 32 22 18 28 100 FINAL MIL 103 BKN 96 1 2 3 4 T 33 26 21 23 103 33 15 32 16 96 FINAL SAS 94 NYK 84 1 2 3 4 T 18 29 23 24 94 21 14 30 19 84 FINAL OKC 105 HOU 110 1 2 3 4 T 26 39 14 26 105 21 33 28 28 110 FINAL POR 106 MIN 101 1 2 3 4 T 21 32 30 23 106 34 19 27 21 101 FINAL MEM 69 GSW 119 1 2 3 4 T 22 12 15 20 69 21 32 40 26 119 FINAL PHX 96 LAC 102 1 2 3 4 T 23 16 33 24 96 22 26 27 27 102

MIAMI HEAT YAFANYA BIASHARA. MCHEZAJI ALIYESHINDA NAO UBINGWA MARA 2, MARIO CHALMERS WAMUUZA RASMI

Miami Heat Ilitangaza Jumanne kwamba imefanya biashara ya mkongwe point guard wao  Mario Chalmers kwa  kumpeleka kunako klabu ya Memphis Grizzlies . Katika hiyo...

WADE AUWASHA MOTO, MIAMI HEAT YAILAMBA OKLAHOMA CITY THUNDER

Ulitaka ladha ya playoff walau mapema na mwanzo kabisa mwa msimu? Basi kama ungetizama mchezo kati ya Miami dhidi ya Oklahoma City Thunder ungepata...

MCCOLLUM AFUNGA 37, BLAZERS IKIIKATA PELICANS

McCollum alifunga pointi 37, nyingi zaidi katika historia yake ya maisha ya kikapu,  ikiwa ni pamoja na pointi 3 sita. Huku ikiwa ni Portland...

LEBRON AWEKA REKODI, IRVING AIONGOZA CAVALIERS KUICHAPA PHOENIX SUNS..

Inawezekana kabisa mchezaji Lebron James taratibu akawa anaachia kijiti kwa wachezaji wengine kama Kevin Durant, Stephen Curry , James Harden na kina Anthony Davis....

MIAMI HEAT YAENDELEA KUWA NA REKODI NZURI DHIDI YA TIMU ZA MAGHARIBI, YAIFUNGA UTAH...

Chris Bosh aliongoza njia na pointi 25, na Johnson alimaliza kwa kufunga point  17 huku akiisaidia Miami kwa kupata ushindi muhimu dhidi ya  Utah...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA NOV 30

FINAL HOU 105 DET 116 1 2 3 4 T 21 20 32 32 105 29 35 20 32 116 FINAL BOS 105 MIA 95 1 2 3 4 T 32 25 24 24 105 23 28 24 20 95 FINAL OKC 100 ATL 106 1 2 3 4 T 21 31 22 26 100 31 22 26 27 106 FINAL SAS 89 CHI 92 1 2 3 4 T 23 25 25 16 89 17 32 21 22 92 FINAL DEN 74 MIL 92 1 2 3 4 T 23 21 16 14 74 28 18 21 25 92 FINAL GSW 106 UTA 103 1 2 3 4 T 26 27 30 23 106 20 28 29 26 103 FINAL DAL 98 SAC 112 1 2 3 4 T 32 26 13 27 98 23 31 22 36 112 FINAL POR 87 LAC 102 1 2 3 4 T 18 31 15 23 87 29 20 25 28 102

STORY KUBWA