Tuesday, September 18, 2018

NBA

Home NBA

CURRY, DRAYMOND GREEN NA TIMU YAO YA WARRIORS WAENDELEA KUWA MCHARO. WAWAKALISHA UTAMU UTAH...

Unapoamua kumchunga Stephen Curry basi mchunge kikamilifu, huku pia ukiweka umakini kwa Draymond Green. Curry atakufunga muda wowote na Green atakuadhibu kwa namna zaidi...

WARRIORS WAO WAENDELEA KUISAKA REKODI, WAITANDIKA DETROIT PISTONS

Kila mchezaji huwa na siku mbaya. Huu ulikuwa ambao Stephen Curry hakuwa yule aliyezoeleka katika kutupa mitupo yake na kuoatia katika kiwango kizuri tangu...

KRISTAPS PORZINGIS ANAENDELEA “KUWAPROVE WRONG WATU” KATIKA KKIWANGO BORA KABISA AWAADHIBU HOUSTON ROCKETS

Carmelo Anthony na Derek Fisher wameendelea  kusisitiza kuwa walijua miezi kadhaa iliyopita kwamba Kristaps Porzingis alikuwa na uwezo wa aina hii ya utendaji na...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA NOV 4

FINAL BOS 98 IND 100 1 2 3 4 T 16 27 29 26 98 23 26 24 27 100 FINAL SAS 99 WAS 102 1 2 3 4 T 23 28 22 26 99 22 25 19 36 102 FINAL BKN 87 ATL 101 1 2 3 4 T 17 26 27 17 87 23 18 31 29 101 FINAL NYK 86 CLE 96 1 2 3 4 T 32 14 23 17 86 18 20 32 26 96 FINAL ORL 114 HOU 119 1 2 3 4 OT1 T 35 24 29 22 4 114 34 34 22 20 9 119 FINAL PHI 87 MIL 91 1 2 3 4 T 21 24 22 20 87 29 18 21 23 91 FINAL TOR 103 OKC 98 1 2 3 4 T 13 27 33 30 103 23 16 42 17 98 FINAL SAC 97 PHX 118 1 2 3 4 T 18 22 29 28 97 28 21 32 37 118 FINAL POR 108 UTA 92 1 2 3 4 T 27 30 19 32 108 26 23 19 24 92 FINAL LAC 108 GSW 112 1 2 3 4 T 25 31 27 25 108 31 32 19 30 112

STEPHEN CURRY NI CURRY HAKUNA MWINGINE, WARRIORS YAIMALIZA PELICANS

Golden State warriors wameendelea kuthibitisha kuwa wao ni bora baada ya kuifunga New Orleans Pelicans mara mbili ndani ya michezo yao mitatu ya ufunguzi...

THUNDER WAREJEA KATIKA USHINDI, WESTBROOK YULEE, DURANT GARI IMEWAKA. THUNDER YAIPIGA SUNS

Kevin Durant alikuwa na pointi 32 na 11 rebounds na Oklahoma City ikiwapiga Phoenix Suns 124-103 na kuondoa rekodi ya kupoeza michezo mitau mfululizo....

LAMARCUS AREJEA NYUMBANI, AISADIA SAN ANTONIO SPURS KUINYUKA PORTLAND TRAIL BLAZERS

LaMarcus Aldridge alisema aliporejea nyumbani kulikomlea kunako klabu ya  Portland, lilikuwa ni jambo lenye kuwa na  uzito juu yake. Akipokelewa  kwa mchanganyiko wa shangwe...

WADE NA BOSH WAIONGOZA MIAMI NA REKODI IMARA DHIDI YA SACRAMENTO KINGS

Wade alifunga pointi 24 na Miami Heat kuwapiga Sacramento Kings 116-109 Alhamisi usiku ,huku wakitumia faida ya Sacramento kumkosa nyota wao DeMarcus Cousins baada...

STEPHEN CURRY…. MVP MVP, GOLDEN STATE WARRIORS YAINYOOOSHA L.A CLIPPERS

Stephen Curry alifunga pointi 31, ikiwa ni pamoja na point 3 iliyowapa uongozi kukiwa kumesalia dakika moja pekee  kwa chezo kumalizika. Huu unakuwa ushindi...

UMEWATIZAMA CHARLOTTE HORNETS? HARUSI SIO YAO LAKINI SUTI ZIMEWAKAA VYEMA KWA SASA, WAICHAPA CHICAGO...

Inawezekana kabisa na ungekuwa sahihi mno kama usingewapa nafasi yoyote msimu huu Charlotte Hornets kutokana na madudu ya msimu uliopita. Lakini mambo yamekuwa tofauti...

STORY KUBWA