Tuesday, March 20, 2018

NBA

Home NBA

BAADA YA MSIMU BORA ULIOPITA, ATLANTA HAWKS WAANGUKIA KIDEVU KWA DETROIT

Kocha wa Atlanta Hawks, Mike Budenholzer ilibidi akubali tu kuwa timu yake haikufanya vyema usiku wa jana baada ya kuzidiwa kwa kila namna na timu...

LEBRON AREJEA, CLEVELAND CAVS IKIPIGWA NA CHICAGO BULLS

Sio kila ukiwa na tatizo katika ufungaji basi huwezi kutoa msaada katika timu yako ili upate ushindi. hayoo ndiyo maneno unayoweza kusema juu ya...

JE, UNAWEZA KUNAMBIA MARAIS WANGAPI WA NCHI WANAWEZA KUCHAMBUA MICHEZO KAMA OBAMA, NJOO UMTIZAME

Katika kuonyesha namna gani kuwa si tu kwamba anapenda michezo hasa mpira wa kikapu lakini pia ni mnazi wa klabu ya Chicago Bulls, Rais...

GOLDEN STATE WARRIORS YAANZA VYEMA, CURRY HAKAMATIKI

Katika uwanja wa Oakland Arena nyumbani kwa Golden State warriors, mambo kadhaa yalijitokeza lakini kubwa kuliko yote ilikuwa ni matukio mawili ambayo ni kusimikwa...

NANI KUTWAA MVP KATIKA NBA? HUU NI UTABIRI WANGU NA WA WACHAMBUZI MBALIMBALI ULIMWENGUNI

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuanza rasmi alfajiri ya kuamkia kesho, kumekuwa na tabiri tofauti kuhusiana na nani anaweza...

LAMAR ODOM BADO NJIA PANDA, KUBAKI HOSPITALI KWA MIEZI 6

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso0 Mchezaji wa zamani wa klabu ya Los Angeles Lakers ambayo alishinda nayo ubingwa wa NBA mara mbili na...

DANNY GRANGER NJE YA KIKOSI CHA DETROIT PISTONS

Na Nicasius N Agwanda ( Nicasius Coutinho Suso) Kila klabu imeendelea na kujiweka sawa katika kambi zao kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu...

LAKERS YAACHANA NA JABARI BROWN YAMUINGIZA METTA WORLD PEACE

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Sheria ya NBA inavitaka vilabu kuwa na jumla ya wachezaji wasiozidi 15 ambao wataorodheshwa kushiriki michezo ya NBA,...

KOBE BRYANT “BLACK MAMBA” AREJEA

Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mashabiki wa klabu ya Los Angeles Lakers na mchezaji Kobe Bryant au The Black Mamba, sasa wanaweza kuwa na...

GERALD GREEN AKUMBANA NA FAINI YA ZAIDI YA MILIONI 50 BAADA YA KITENDO HIKI

Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Mchezaji mpya wa klabu ya Miami Heat Gerald Green amekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya dola za...

STORY KUBWA