Thursday, September 20, 2018

NBA

Home NBA

Ray Allen, aondoka zake, tumebaki na Curry na Klay Thompson.

Ray Allen ametwaa ubingwa wa NBA akiwa na vilabu vya Boston na pia Miami, huku akikumbukwa kwa baadhi ya mitupo yake muhimu ya pointi tatu katika...

CURRY NI CURRY, WARRIORS NI WARRIORS. OKC YAPIGWA FAINALI KIMAAJABU.

Klabu ya Golden State Warriors ilimaliza msimu ikiwa na rekodi ya kushinda michezo 73na kupoteza 9 hivyo kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu ya...

Kyrie Irving Akumbwa Na Mkosi, Giannis Antentokounmpo Mchezaji Bora NBA?

Inawezekana jina la Giannis Antetokounmpo likawa maarufu kutokana na ugumu wake lakini tangu msimu uliopita amekuwa mchezaji anayetizamwa zaidi katika kundi la wachezaji vijana...

Boston Celtics Ya Mtu Mfupi Yamnyemelea Lebron James Fainali.

Inawezekana kimo chake kikawa sababu kubwa ya klabu ya Sacramento Kings kuamua kuachana nae lakini ameweza kupageuza Boston Celtics nyumbani na ndiye nyota ama...

CAVALIERS YAWATAFUNA MWEWE WA ATLANTA. KEVIN LOVE AREJEA KATIKA UBORA CLEVELAND IKIIRARUA ATLANTA HAWKS.

 Kevin Love alifunga  pointi 25 ambazo ni nyingi zaidi kwake msimu huu, LeBron James aliongeza 19  na Cavaliers ikawapiga Atlanta Hawks 109-97 siku ya...

Neymar anajua soka, anaijua pesa, anajua biashara. Mtu tatu ndani ya track moja

Inawezekana kabisa mchezaji Cristiano Ronaldo akawa ndiye mchezaji wa soka anayeongoza kwa kutengeneza pesa nyingi katika mikataba ya kibiashara na umaarufu katika mitandao ya...

OKLAHOMA CITY THUNDER YAWANYOOSHA SAN ANTONIO SPURS

  Wakiwa wanamkaribisha tena uwanjani mchezaji wao bora Kevin Durant, na pia wakicheza kwa mara ya kwanza mechi yao ya ushindani chini ya Billy Donovan...

Anthony Davis Afanya Makubwa, lakini timu yake yachapwa.

Kocha wa Denver Nuggets, Mike Malone aliamuakuwa timu yake haikuwa na haja tena ya kupambana na mchezaji aliyekuwa kwenye kiwango cha juu Alfajiri ya...

MATOKEO YA JUMLA YA NBA DEC 6

FINAL PHX 93 MEM 95 1 2 3 4 T 16 25 27 25 93 20 23 24 28 95 FINAL GSW 114 BKN 98 1 2 3 4 T 30 27 30 27 114 16 38 26 18 98 FINAL LAL 91 DET 111 1 2 3 4 T 19 23 23 26 91 32 33 25 21 111 FINAL DAL 116 WAS 104 1 2 3 4 T 29 26 32 29 116 28 30 26 20 104 FINAL SAC 95 OKC 98 1 2 3 4 T 25 23 16 31 95 28 23 25 22 98

KEVIN DURANT AWAKA, OKC YAENDELEA KUKITIMUA

Kevin Durant alifunga pointi 25 na kusaidia Oklahoma City Thunder kuifunga  Denver Nuggets 117-93 siku ya Jumapili usiku . Durant alipata mitupo  8 kati...

STORY KUBWA