Thursday, September 20, 2018

NBA

Home NBA

MATOKEO YA JUMLA YA NBA NOV 9

FINAL ORL 84 IND 97 1 2 3 4 T 25 23 23 13 84 25 24 23 25 97 FINAL CHI 111 PHI 88 1 2 3 4 T 31 21 24 35 111 22 21 19 26 88 FINAL MIN 117 ATL 107 1 2 3 4 T 30 42 21 24 117 19 23 42 23 107 FINAL POR 104 DEN 108 1 2 3 4 T 33 25 22 24 104 29 28 22 29 108 FINAL SAS 106 SAC 88 1 2 3 4 T 23 26 23 34 106 24 19 26 19 88 FINAL DET 95 GSW 109 1 2 3 4 T 15 31 30 19 95 27 28 25 29 109 FINAL MEM 92 LAC 94 1 2 3 4 T 26 20 20 26 92 25 21 24 24 94

MIAMI HEAT YA WADE YAIUNGUZA CLEVELAND CAVS. WADE ANG’AA LEBRON AKIWA NJE

Lebron yupo katika umri wa miaka 30 sasa, hana maisha marefu sana ya ubora wake katika NBA kama afya yake haitolindwa. Bahati nzuri sana...

Clippers yaionyoosha Portland Trail Blazers, Griffin yupo safi sasa.

Portland Trail Blazers imekuwa moja ya vilabu tishio kwenye NBA tangu msimu uliopita ambapo haikuwa inapewa nafasi sana mpaka pale walipoibuka Damian Lillard na...

GOLDNE STATE WARRIORS WAJA NA FUMBO JIPYA KATIKA NBA. WAENDELEAA KUWEKA REKODI, HAIJULIKANI WATAFUNGWA...

Kuna swali moja kubwa lililopo katika ligi kuu ya kikapu nchini Marekani (NBA) kwa sasa nalo ni lini Golden State Warriors watapoteza mchezo wao...

CAVALIERS YAWATAFUNA MWEWE WA ATLANTA. KEVIN LOVE AREJEA KATIKA UBORA CLEVELAND IKIIRARUA ATLANTA HAWKS.

 Kevin Love alifunga  pointi 25 ambazo ni nyingi zaidi kwake msimu huu, LeBron James aliongeza 19  na Cavaliers ikawapiga Atlanta Hawks 109-97 siku ya...

WEWE NI SHABIKI WA NBA….JE UNAYAJUA HAYA.

Je wajua kuwa huu ndio utakuwa msimu wa mwisho kwa klabu ya Sacramento Kings kutumia uwanja wake wa Sleep Train Arena, na klabu hiyo...

KOBE KOBE KOBE BRYANT!!!!!!!! LAKERS WAENDELEA KUPOROMOKA, KOBE AENDELEA KUZOROTA. WALIWA NA PORTLAND TRAIL...

Lillard alikuwa na pointi 30  huku akitoa pasi zake nyinngi zaidi kuwahi kupata 13 , na CJ McCollum aliongeza pointi 19 katika ushindi wa...

GOLDEN STATE WARRIORS WAITEKA NBA, HAIJAJULIKANA WATAFUNGWA LINI. WAZUNGU WANASEMA THEY ARE ON FIRE

Rekodi ya  Golden State  Warriors  inaendelea bila kikomo, wakati huu mabingwa watetezi hawa wakipenya kwa kuwalipua timu ngumu ya  Chicago Bulls kwa pointi  106-94...

KUTANA NA MAMA MERLE CAMPBELL : SHABIKI MWENYE UMRI WA MIAKA 92 WA...

Merle Campbell ana umri wa miaka 92 na ni shabiki mkubwa sana wa klabu inayoshiriki ligi kuu ya kikapu NBA ya  Portland Trail Blazers. Alhamisi...

KOBE AENDELEA KUTELEZA NA MASHABIKI, AMKATA CURRY, LEBRON NA DURANT KURA ZA KUINGIA ALL...

Mashabiki wa mchezo wa kikapu duniani kote wameendelea kumuaga Kobe Bryant kwa staili ya aina yake. Ukiachilia mbali katika viwanja tofauti anakoenda, sasa wamehamia...

STORY KUBWA